Nikaribisheni jamani

Nikaribisheni jamani

violita

Member
Joined
Jun 22, 2015
Posts
61
Reaction score
32
Jamani mimi ni new member katika jukwaa hili, naomba mnikaribishe nipate kujifunza na kupata ma experience kutoka kwenu.

Ni hayo tu asanteni.
 
karibu sana JF mjukuu wetu hapa GT.................
 
Asanteni wapendwa, I hope to learn many things from you all....
 
Jamani hodi humu, mgeni. Mi mwenzenu mgeni.naomba mnikaribishe humu.navutiwa na mada zote na uelewa wa juu wa wana jamvi wote. Hodi sasa
 
Back
Top Bottom