Nikaribisheni kwa kunijibu hili swali'

Nikaribisheni kwa kunijibu hili swali'

hamic mussa

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
227
Reaction score
20
hodi hodi hodi! Hebu nikaribisheni kwa kunjibu hiki kitendawili
'KAPIGWA CHINI KAVIMBA JUU!' naomba mnipe jibu.
 
Karibu sana, lakini uwe na adabu.
 
Karibu sana! Zingatia staha sana,unajua hodi ya chooni haiitikiwi karibu.
 
Back
Top Bottom