Nikaribisheni mgeni wenu

Nikaribisheni mgeni wenu

Mgeni umetuletea zawadi gani?

Anyway niko hapa kwa ajiri ya kukulinda, nimesacrifice maisha yangu kwa ajiri yako[emoji41][emoji41]
 
Ahahahha aya bana
upande wa juu wa Jf utaona kuna visehemu vinne
bonya hapo ambapo ni kwa tatu toka kulia utakuta pamewekewa andishi moja (1) kwenye bahasha click hapo utakuta ujumbe jinsi ya kutumia jukwaa hili ipasavyo
 
umejuaje kama ni (1) na sio (6)(7)(8)...?
 
Mbona hukuingia PM,bado nakungoja nikupatie hili na kile ili kuondoa sin'tofahamu🙂
 
Back
Top Bottom