Nikaribisheni mi mgeni

Nikaribisheni mi mgeni

Karibu, kuna jamaa humu anaitwa Joseverest usishangae kuona anakuwa wa kwanza kujibu kila mada utakayoiandika.
 
Karibu kjana umeoa usije sumbua dada zangu humu

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Karibu sana humu kuna kila aina ya kiumbe ...maprofesa mpaka std 7 wachawi kwa wachungaji ...ukitukanwa usiridishie tusi ....karibu sana
 
Back
Top Bottom