Msema hovyo
Senior Member
- Jul 3, 2011
- 195
- 86
Wandugu imenilazimu kuingia humu, maana nimekuwa kimya kwa muda mrefu lakini sasa nimeamua. Na imenipasa kufanya hivyo kutakana na hasira ya kukosa umeme. Kwa kuwa kazi za ofisi haziendi wala nyumbani hakukaliki, nafikiri nitakuwa busy na simu yangu kushare mawazo na great thinkers humu ndani. Kwa kuanza napendekeza tuandamane kumshinikiza Ngeleja ajiuzulu.
Kwakweli simjui ila namsikia. Maana madhara yake kwa taifa ni makubwa. Na hapo ndo nashawishika kumuandama kwa maslahi ya nchiunamjua ngeleja?
Eeeh, Mama!! Nimelazimika kununua solar charge baada ya hizi kadhia za umeme kukatika kila kuchwapoKaribu sana.
Unai recharge kwa solar?
Eeeh, Mama!! Nimelazimika kununua solar charge baada ya hizi kadhia za umeme kukatika kila kuchwapo
Huu sasa ni utata tu FaizaFoxy. Kwa hiyo unataka kusema kule kununua nguzo ya umeme kwa milioni, kufanya wiring kwa malaki, na kuingiza umeme kwa mamilioni, ilikuwa ni kwaajili ya nini? si bora ile hela ingetumika kununua solar kama ndo hivyo? Kama mmeamua kunishawishi nitumie solar kuanzia sasa, basi nirudishieni ile hela yangu halafu mje mng'oe nguzo yenu na nyaya zenu hapa home maana zinaniletea ghasia tu.Sasa unalalamika nini na unao umeme wako mwenyewe wa solar? hapo inabidi ufurahi kuwezeshwa kuwa na umeme wako mwenyewe, hakuingilii mtu wala hakukatii mtu, au hilo nalo waona si jema?
Huu sasa ni utata tu FaizaFoxy. Kwa hiyo unataka kusema kule kununua nguzo ya umeme kwa milioni, kufanya wiring kwa malaki, na kuingiza umeme kwa mamilioni, ilikuwa ni kwaajili ya nini? si bora ile hela ingetumika kununua solar kama ndo hivyo? Kama mmeamua kunishawishi nitumie solar kuanzia sasa, basi nirudishieni ile hela yangu halafu mje mng'oe nguzo yenu na nyaya zenu hapa home maana zinaniletea ghasia tu.
Tuondolee ujinga wako kila kukicha nasikia watu wakikulalamikia kumbe mambo yenyewe ni haya ? tusubiri miaka mingapi ? eti kaeni mkao wa kula umeme waja hata kwenye shughuli si wote wanaonawa hula,kama hata kauli ya rais haiaminiki basi kuna tatizo kubwa la kiutawala.Hizo ziwache umewekeza for the near future, si unajuwa nyerere aliiacha hii nchi nyang'a nyang'a na hivi sasa ndio Mkuu JMK anaweka mambo yote swaaafi,maumeme mengi tu yanakuja hivi karibuni, wala usiwe na shaka. Maendeleo ya haraka haraka ya JMK ndio yanafanya umeme tulioachiwa na nyerere, mwinyi n\ mkapa usitutoshe kabisa kwa sasa, matumizi yanazidi mara kumi zaidi kwa mwaka kwa miaka mitano mfululizo kwa sasa, kabla ya hapo ilikuwa ukuwaji wa asilimia 10 kwa kila miaka mitano.
..........................karibu sana............sitasema hovyo kwa kuwa sina charge ya kutosha kutokana na kukosa umeme tangu juzi,...................kheri yako wewe una hasira mwenzio hasira sina kwani tangu juzi sina umeme hasira nitatolea wapi.................................................kheri wewe uko busy na simu yako kushare mawazo na great thinkers humo ndani................mimi nitawapata wapi kwani computer yangu haiwaki umeme hakuna.....................................kheri wewe utaandamana maana taarifa ya maandamano utaipata.........................................................................,mimi sitoa andamana maana sitopata taarifa ya maandamano hayo kutokana na kukatika kwa umeme ambao umeikosesha simu yangu na computer mawasiliano na greatthinkers,..................................................wacha nisiseme hovyo kama wewe,............................................................siku njema......................................siendi nyumbani hamna umeme,..........................................baa pia hakuendeki kwani bia za baridi hakuna kisa umeme umekatika.....................nasema tena sisemi hovyo,Wandugu imenilazimu kuingia humu, maana nimekuwa kimya kwa muda mrefu lakini sasa nimeamua. Na imenipasa kufanya hivyo kutakana na hasira ya kukosa umeme. Kwa kuwa kazi za ofisi haziendi wala nyumbani hakukaliki, nafikiri nitakuwa busy na simu yangu kushare mawazo na great thinkers humu ndani. Kwa kuanza napendekeza tuandamane kumshinikiza Ngeleja ajiuzulu.