Nimekua na ID mwaka mzima sasa, lakini nimeona ni vema uanzapo mwaka mpya (Mungu akijalia); niwe member rasmi.
Naahidi kua mwana jamii anaestahili baada ya kua nanyi kama observer.
Hata mimi nilikaa nje sana kama wewe hakuna ajabu, usijali! Karibu sana, mimi pia sio mwenyeji sana ila utawakuta wenyewe watakujulisha kona zote za jumba hili. Ukitaka tuonane uwe unakuja basi kwenye kijiwe cha mabisiness na wajasiliamali tubadilishane mawazo. Sasa mbona uko mikono mitupu au ndo umeshamaliza zawadi zote? Si unajua mgeni njoo mwenyeji apone!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.