Nikaribisheni

Nikaribisheni

Njoo inbox nikupe muongozo ili usije potea... Mimi ndiyo baba paroko humu jf kazi yangu kama kiongozi wa dini ni kulinda kondoo wasipotee, muulize shunie nyadhifa yangu.... Upo mikono salama ukija PM
Asante paroko dah![emoji1]
 
Nimepita baazi ya sehemu. Tangu Jana jioni nimejiunga hapa kuna sehemu nyingi sana watu wanakoment sana sana Kwenye siasa na post za mapenzi. Gudume nimemkuta anataka kutoa bikra kitu kama icho[emoji1]
Jina langu hukuliona?
 
Habari zenu. naitwa Aniva ni msichana 25-30's Age

Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
Hiyo miaka vipiiii? Au ndo mambo ya hisabati statistics! Hiyo range sijaielewa
 
Back
Top Bottom