Mmhhh maybe basi Mods watakua ktk mwendelezo wao wa wivu !!.Hapana sijaona text yako. Ningekujibu mbona
Nop. Kweli vile sijaona kabisa text yako. Mbona ningekujibu mtu wangu kwanin nikufiche?Mmhhh maybe basi Mods watakua ktk mwendelezo wao wa wivu !!.
Maana notification ya Uzi wako ,ikachelewa ,nmekuja kuipata Tatar seat zote zimejaa and I didn't want to sit btn the two chairs !.
NmekuPM unasema bado hujaiona ,siku ya tatu sasa !!.
Wewe na mod nyote you are just pretending not to like me !!.
Kumepambazuka zamani sanaBado hakujapambazuka tuu.
Who is mofs?Mmhhh maybe basi Mods watakua ktk mwendelezo wao wa wivu !!.
Maana notification ya Uzi wako ,ikachelewa ,nmekuja kuipata Tatar seat zote zimejaa and I didn't want to sit btn the two chairs !.
NmekuPM unasema bado hujaiona ,siku ya tatu sasa !!.
Wewe na mod nyote you are just pretending not to like me !!.
Asante sana nikija nitakuarifuMimi nipo Dar. Unakaribishwa
NimekujibuNchi gani specifically
Sio lazima ukae bana.Duh humu nakaaje sasa mwifa.
Aya maana hujaiona endelea kusubiri siku ikifika unijibu ,nisingependa kuandika Tena ,hii sasa nizamu yako weee !.Nop. Kweli vile sijaona kabisa text yako. Mbona ningekujibu mtu wangu kwanin nikufiche?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unachapia sana ,,hujanywa Maji ya kutosha ?[emoji23] [emoji23]Who is mofs?
Hahahahaa. Nothing than thanks π΅ π΅ π΅[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unachapia sana ,,hujanywa Maji ya kutosha ?[emoji23] [emoji23]
Sio Mofs ,,,ni mods ..mods ni short term ya Moderators ,hawa ni waajiriwa Wa JF ambao kazi yao ni kumonitor na kuongoza nakuhakikisha sheria za utumiaji Wa JF zinafuatwa!!
Yaan Hawa , kama umeandika Uzi usokua na maudhui wanaufuta !!.
Haya,, kwa maelezo nlokupa ,ukizingatia hamna chabure hapa dunian ,, what are you going to offer me in return?.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahahaa haya bana. Nirudishie kile kiti nikae maana kiuno kinauma kusimama π π
Amna ukifanya ivo siku ingine siwezi kukusaidia unless you don't need my help anymore!!.Hahahahaa. Nothing than thanks π΅ π΅ π΅