Nikaribisheni

Hi guys nimewamiss sana huku ndani.

Mwifwa.
Demi
Putini
Nassib nyika
Shunie love[emoji8] [emoji8]


Na woote Wa humu. Missing you so Much jamani.
 
Shunieeeeeehhhh. Huyu kiukweli nimempenda bure na natamani kuwa kama yeye I wish she can be my real sista ..unanivutia mno Ccta. I can't explain
 
Siwezi kuongeza. Kama unaweza ongeza tu hapo. Kathias
Bofya msg unayotka kuedite then utaona sign mfano wa penseli juu mkono wa kulia,

Bofya iyo sign then anza kuedite.
 
Kivipi sijaelewa hapo
Mfano hii reply yako[emoji115] ibofye(gusa Mara moja)
Then juu upande wa Julia utaona kikalamu kiko katkat, kibofye na chenyewe, then malizia.

Bado hujaelewa?
 
Mfano hii reply yako[emoji115] ibofye(gusa Mara moja)
Then juu upande wa Julia utaona kikalamu kiko katkat, kibofye na chenyewe, then malizia.

Bado hujaelewa?
Heee! Asee imekubali. Kumbe unaweza futa hata yote ukaandika mpy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…