Nikaribisheni

Nikaribisheni

Dah, Uzi unakimbia kwa kasiiiiii. Kisa wewe ni Ke au me!! Nyiee, nchi ya viwanda tutaifikia kweliii???? Tunawaza raha tu
 
Aniva kama ni Ke, basj I loved huu already[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji12] [emoji12] [emoji12] Sio unifikirie, unikubalie tuu. Gharama tutashare. Mkubwa wewe ujue!!!
 
Habari zenu. naitwa Aniva ni msichana 25-30's Age

Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
Karibu sana dada yeti
 
Back
Top Bottom