Nikaribisheni

Nikaribisheni

MNYANTUZU

Member
Joined
Jun 18, 2009
Posts
9
Reaction score
0
Ndiyo tu nimejiunga na forum hii. Naahidi kuwa mwanachama productive nitakayeshiriki katika mijadala kwa hoja. Ninaleta post yangu ya kwanza muda si mrefu ujao.
 
Karibu sana Mnyantuzu. Habari ya Bariadi? ntie ndio nasikia mmempa Chenge u chifu? na wewe ni mmoja wao au ni babu zako?
 
Ndiyo tu nimejiunga na forum hii. Naahidi kuwa mwanachama productive nitakayeshiriki katika mijadala kwa hoja. Ninaleta post yangu ya kwanza muda si mrefu ujao.

Duh! Kweli mkuu nimeiona post yako ya kwanza! karibu
 
Wang'wise Tuleho. Au mtoto wa kimachame umeforge Jina la kwetu Maswa?
Make ur self at home.
 
karibu JF ndogo wane,
tunategemea mengi sana ya mzee wa vijisenti kutoka kwako, si mko jirani pale bariadi
 
Back
Top Bottom