Nikaribishine Singida Mjini Mimi ni mgeni hapo

Nikaribishine Singida Mjini Mimi ni mgeni hapo

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,417
Reaction score
6,149
Wakuu habari za asubuhi Leo ijumaa nmeondoka Dar asubuhi hii naelekea singida japo hapo Mimi ni mgeni nilifika maramoja tu 2017 na ilikuwa usiku nikalala na asubuhi nikaondoka hivyo basi safari hii nitakaa siku mbili naomba kampani ya watu wa singida tule bataaa
 
Back
Top Bottom