Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daa nakumbuka Diego Amando Maradona siku alipoingia Tulin Italy kwenye club ya Napol, watoto 100 walibatizwa kwa jina lake la Maradona. Ukija na lile goli la mkono wa Mungu, basi ilikuwa bonge la burudani kabisa. Ila nyakati zinakimbia sana.Ukipata fursa nyingine,mtazame na Diego Armando Maradona. Angalia usimkatae tu uliyeambiwa ni mfalme Wa soka
Hapo 1 na 2 Mimi huwa sikubali,manake huwa naona 1 ni 2 na 2 ni 1Orodha iko hivi
1.Pele
2.Maradona
4.Cruyff
5.Messi
Wengine wanafuata
Ali nimzuri kwa kucheza ngumi kwa round nyingiMiaka ya nyuma hata Mohamed Ali clay walikuwa wanamuita Pele wa ngumi
Hapo sasa
Huyo Andunje mtoe banaOrodha iko hivi
1.Pele
2.Maradona
4.Cruyff
5.Messi
Wengine wanafuata
Ngoja Waje mashabiki wa andunje tejaMkuu mie pele nimemfatilia mnoo.. Nishakiri kabla kuwa pele ni kiumbe cha pekee mnoo.. Jamaa alikiwa na speed, skills za hali ya juu, control maridhawa, touch za hali ya juu, huku akitunukiwa speed ya hali ya juu, alikuwa strong, anapiga miguu yote.. Kifupi pele alikuwa hatari mnoo, japo kuna watu wanajaribu kumpinga.
3.Ronaldo de limaOrodha iko hivi
1.Pele
2.Maradona
4.Cruyff
5.Messi
Wengine wanafuata
Kwangu andunje teja hamfikii hata andunje modern..Ngoja Waje mashabiki wa andunje teja
Nampenda messi ila napinga hili..Ila messi ni habar nyingne,yaan anacheza kwenye ulimwengu wa mpira wa science na elim ya darasan lakin bado anatupia,..enz za hawa wa zaman,competition ilikua sio kubwa,so best player wa miaka hii na miaka ile,wana utafaut mkubwa
Kwa kizazi chake alikuwa balaa, ila kizazi cha sasa hata Giroud anamtoa nishai.Mhh. Nilikua naangalia hii channel 319mindset,wanaonyesha best footballers,nkawa nawaona ona hapa,nkasema ngoja nimwangalie huyu pelle maana anatajwa saaana,..nkaingia youtube,mhhhhh huyu jamaaa alikua balaaa kweli wazee
Namba 3 ni naniOrodha iko hivi
1.Pele
2.Maradona
4.Cruyff
5.Messi
Wengine wanafuata