banned do
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 574
- 506
Namba 3 ni nani
Samatta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba 3 ni nani
Sababu babu pele si saiz yao.
Nampenda mnoo mfalme messi, ila hajamfikia mfalme peleKila mmoja na mtazamo wake. Wewe utasema pele mwingine atakuja na kusema Maradona. Ukweli halisi na utabakia kuwa ukweli. Messi ndiye Mfalme wa wote....kigezo sio kubeba kombe, tunaangalia performance na kuisaidia mataji timu yake. Messi atabakia kuwa juu ya wote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hakuna bondia kama Ali..anapigana unaona kabisa hela na muda wako unaenda kihalali..achana na ngumi njaa za akina Tyson..Ali anakupiga huku anakutukania mamaako
Nampenda mnoo mfalme messi, ila hajamfikia mfalme pele
Sikia mkuu mie siongei kishabiki sababu ni mpenzi mkubwa wa king messi..Asante kiongozi___but Pele alichomzidi Mfalme ni makombe ya dunia tu ambayo ile ni teamwork.
Humjui Maradona wewe.Kwangu andunje teja hamfikii hata andunje modern..
Maradona na messi mpira wao unafanana kila kitu, ila maradona kazidiwa dribbling ya messi ni nzuri zaidi, messi ni mwepesi kuliko alivyokuwa maradona, messi yuko na speed zaidi. Mengine wako sawa
Nimemuangalia vizur mnoo maradona, ila kwangu messi ni mzur zaidi y maradonaHumjui Maradona wewe.
Kuwazungumzia Pelle na Maradona ktk kipengele cha kuwafananisha na kuwatofautisha nani ni zaidi ya mwenzie ni ngumu coz wengi hatujaowaona zaidi uingie google
Ila ni rahisi sana kuwafananisha na kuwatofautisha Messi na CR7 maana hawa tunawaona wakiweka records mbali mbali za dunia pia kuzivunja
Usisahau kuwa kulikuwa hakuna red cardEnzi hizo hakukuwa na offside full kuvizia na mabeki walikuwa mashoga shoga
Ingia youtube umuone mhuni Diego akitandaza soka,, cheki hapa uje na feedback kamanda...
Wafalme original ni wawili tu duniani, waliobakia ni makapi:
KING MESSI10s
KING DIEGO10s
Puskas unamuacha wapi mkuu huyo kwangu ndio all time best hana wa kufananishwa naye hapa duniani