BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Kubeba kombe la Dunia sio tatizo. Kwa mfano: David Villa /Juan Mata wamebeba kombe la Dunia mara moja, je ni bora zaidi ya Leon Messi The Magician kwa uwezo wakukokotoa mpira?
Messi na maradona ndio wamewasumbua mabeki, jitu linachana mbuga mpaka kipa...nani amefanya hivyo tokea soka lianze kuchezwa!!!😀😀
Asante sana KING/MAGICIAN LEO10s
Asante sana KING DIEGO10s
Cheki hapa kamanda,,, alafu wanatuletea mapanzi hapa.