Hajui Huyo,kuna muItaliano mmoja anaitwa CLAUDIO GENTILE alitembea na Maradona na Zico iyo world cup 1982 Italy kachukua ndoo magoli ya Rossi, Gentile alipoulizwa anawajibu "football is not for ballerinas" Kadi zilikua hamna,hawa mabeki wenu wa saivi lainilaini kina Hummels kina Pique,Leo Ramos anaonekana mbabe anacheza rafu,Chiellini anaoneakana mgumu,wakati enzi hizo za "Battle of Santiago" wangeogopa wakimbilie nyumbani.
Au anamjua ANDONI GOIKOETCHEA "the butcher of Bilbao" Alichokua anamfanya maradona kila wakikutana!
Eti mabeki mashoga shoga uyo jamaa kaanza kuangalizia wapi mpira!