Nikasema leo niangalie huyu wanaesema Pele alikuaje enzi hizo. Kweli alikuwa nuksi

Nikasema leo niangalie huyu wanaesema Pele alikuaje enzi hizo. Kweli alikuwa nuksi

Messi hatoweza kucheza kiwanja kibovu wakati vizuri vipo. Sema we akili yako inakutuma ni ngumu Ku_score kiwanja cha mchangani wakati mtaani huku wanafungana magoli daily. Ujue suala la mchezaji kushindwa kucheza kiwanja kibovu ni Psychology tu. Messi hawez kucheza rough pitch hatomudu maana ameshajengwa kucheza pitch nzuri
Nan kakwambia tena mess ukimpeleka viwanja vya ndondo cup anakipiga vizuri tu yule MTU ni gifted
 
Mpaka leo namba moja anabaki kuwa pelle tu
Sasa hivi hao mnaowaita bora wanajiangusha angusha na kudai mipenalty
 
Hat- trick mara 92
Goli 4 mara 31
Goli 5 mara 6
Goli 8 mara 1
Huyu ni pele mfalme wa soka duniani
 
Kwa kuzingatia mambo haya
1: Dribbling skills
2: Vyenga
3: Asist
4: Kulijua goli
5:Solo run (Kuwaungisha watu tela kama alivyowafanya Madrid baada ya kususiwa pasi na Ghost agent Sergio Bousquet)
6: Kuchana/Kukatiza mazingira magumu kama alivyowafanya Atletico Bilbao kwenye Copa Delay nimesahau mwaka.

MESSI THE FORMULAR THE MAGICIAN.
Basi haya yote mjomba pele alikuwa anayatenda bila tabu kwa ufanisi mkubwa tena katikati ya uwanja unaofanana na ule mkwakwani au majimaji ya songea(Kiwanja kibovu)
 
Hamna kitu, his best goals ziko youtube na ni magoli ya kawaida sana.
Mkuu hujamfatilia huyu babu.. Imagine vitu alivyofanya mwaka 50 kweusi huko ingekuwa leo angekuwaje..

Mie nimemfatilia vizur mnoo sijawahi kuongea kimapenz kwenye suala la soka.. Ukizingatia namkubali mnoo messi kwa kizazi cha sasa.
Amini yangu pele alikuwa hatari.
 
Hajui Huyo,kuna muItaliano mmoja anaitwa CLAUDIO GENTILE alitembea na Maradona na Zico iyo world cup 1982 Italy kachukua ndoo magoli ya Rossi, Gentile alipoulizwa anawajibu "football is not for ballerinas" Kadi zilikua hamna,hawa mabeki wenu wa saivi lainilaini kina Hummels kina Pique,Leo Ramos anaonekana mbabe anacheza rafu,Chiellini anaoneakana mgumu,wakati enzi hizo za "Battle of Santiago" wangeogopa wakimbilie nyumbani.
Au anamjua ANDONI GOIKOETCHEA "the butcher of Bilbao" Alichokua anamfanya maradona kila wakikutana!
Eti mabeki mashoga shoga uyo jamaa kaanza kuangalizia wapi mpira!
Pele anajuq kilichomsibu 66 alitaka na kuacha kucheza mpira kabisa kwa yale yaliyomkuta..
 
yaani napata shida sana kumkubali Maradona mtu anayekumbukwa kwa mechi mbili tu!just 2 matches zimpe ufalme wa dunia!!hapana!Kwangu Messi amemuacha mbali sana Maradona,ni vile Cv ya maradona inabebwa na kuchukua kombe la dunia tena maramoja tu....Pele amewazidi wote kwa CV bora iliyotukuka na kuwa Most Completed Player.
Kwangu ni
Pele
Messi
Maradona


Hawa wawili nimewafatilia mnooo zaid ya sana, huyu mmoja namshuhudia kila siku.
 
Back
Top Bottom