Nikasema leo niangalie huyu wanaesema Pele alikuaje enzi hizo. Kweli alikuwa nuksi

Nikasema leo niangalie huyu wanaesema Pele alikuaje enzi hizo. Kweli alikuwa nuksi

Kubeba kombe la Dunia sio tatizo. Kwa mfano: David Villa /Juan Mata wamebeba kombe la Dunia mara moja, je ni bora zaidi ya Leon Messi The Magician kwa uwezo wakukokotoa mpira?

Messi na maradona ndio wamewasumbua mabeki, jitu linachana mbuga mpaka kipa...nani amefanya hivyo tokea soka lianze kuchezwa!!!😀😀

Asante sana KING/MAGICIAN LEO10s
Asante sana KING DIEGO10s

Cheki hapa kamanda,,, alafu wanatuletea mapanzi hapa.

KAZI KWELIKWELI!!!!!!
 
Attachments

KAZI KWELIKWELI!!!!!!

Ha ha haaa mkuu nimeiona aise. Alafu wanatuletea mapanzi yao hapa. Hatokuja kutokea kiumbe like this...hata mitaani ukipita utasikia watoto kakinadi unacheza kama Messi 😀😀😀 Messi acha aitwe King.
 
Ha ha haaa mkuu nimeiona aise. Alafu wanatuletea mapanzi yao hapa. Hatokuja kutokea kiumbe like this...hata mitaani ukipita utasikia watoto kakinadi unacheza kama Messi 😀😀😀 Messi acha aitwe King.
Leo saa tatu asubuhi tukumbushane nitarusha kinginine..
 
Messi ni bora ila sio bora kuliko pele & Maradona ..
Hii ni km pie vile
 
Mhh. Nilikua naangalia hii channel 319mindset,wanaonyesha best footballers,nkawa nawaona ona hapa,nkasema ngoja nimwangalie huyu pelle maana anatajwa saaana,..nkaingia youtube,mhhhhh huyu jamaaa alikua balaaa kweli wazee
hiyo chaneli inapatikana kisimbuzi kipi?
 
Daa nakumbuka Diego Amando Maradona siku alipoingia Tulin Italy kwenye club ya Napol, watoto 100 walibatizwa kwa jina lake la Maradona. Ukija na lile goli la mkono wa Mungu, basi ilikuwa bonge la burudani kabisa. Ila nyakati zinakimbia sana.
Napoli haipo Turin mzee,El Partenopei wapi Naples!
 
Mkuu nahisi wewe utakuwa wa jana jana.
Mabeki walikuwa mashoga shoga?!!

Washambuliaji walikuwa wanavunjwa miguu kama kuku. Wakati mwingine forward wanakimbia match sababu ya back wababe na katili.
Hajui Huyo,kuna muItaliano mmoja anaitwa CLAUDIO GENTILE alitembea na Maradona na Zico iyo world cup 1982 Italy kachukua ndoo magoli ya Rossi, Gentile alipoulizwa anawajibu "football is not for ballerinas" Kadi zilikua hamna,hawa mabeki wenu wa saivi lainilaini kina Hummels kina Pique,Leo Ramos anaonekana mbabe anacheza rafu,Chiellini anaoneakana mgumu,wakati enzi hizo za "Battle of Santiago" wangeogopa wakimbilie nyumbani.
Au anamjua ANDONI GOIKOETCHEA "the butcher of Bilbao" Alichokua anamfanya maradona kila wakikutana!
Eti mabeki mashoga shoga uyo jamaa kaanza kuangalizia wapi mpira!
 
yaani napata shida sana kumkubali Maradona mtu anayekumbukwa kwa mechi mbili tu!just 2 matches zimpe ufalme wa dunia!!hapana!Kwangu Messi amemuacha mbali sana Maradona,ni vile Cv ya maradona inabebwa na kuchukua kombe la dunia tena maramoja tu....Pele amewazidi wote kwa CV bora iliyotukuka na kuwa Most Completed Player.
 
Hahaa ...
"Football is not for ballerinas".

Daah, Kauli ya kibabe na dharau.
 
yaani napata shida sana kumkubali Maradona mtu anayekumbukwa kwa mechi mbili tu!just 2 matches zimpe ufalme wa dunia!!hapana!Kwangu Messi amemuacha mbali sana Maradona,ni vile Cv ya maradona inabebwa na kuchukua kombe la dunia tena maramoja tu....Pele amewazidi wote kwa CV bora iliyotukuka na kuwa Most Completed Player.
u know nothing about Diego. Nenda jijini Naples ukaulize jinsi gani alivyoibeba na kuirudisha S.S Napoli katika mstari!
 
Ukipata fursa nyingine,mtazame na Diego Armando Maradona. Angalia usimkatae tu uliyeambiwa ni mfalme Wa soka
Huyu maradona waingereza wanamjua shughuli yake aliwapiga goli la mkono washabiki wa kiingereza wakalipigia kelele sana enzi zile technology ilikuwa chini na alipohojiwa aliwaambia waandishi wa habari ule ulikuwa mkono wa Mungu
 
Back
Top Bottom