Nikasema leo niangalie huyu wanaesema Pele alikuaje enzi hizo. Kweli alikuwa nuksi

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Mhh. Nilikua naangalia hii channel 319mindset,wanaonyesha best footballers,nkawa nawaona ona hapa,nkasema ngoja nimwangalie huyu pelle maana anatajwa saaana,..nkaingia youtube,mhhhhh huyu jamaaa alikua balaaa kweli wazee
 
Mkuu mie pele nimemfatilia mnoo.. Nishakiri kabla kuwa pele ni kiumbe cha pekee mnoo.. Jamaa alikiwa na speed, skills za hali ya juu, control maridhawa, touch za hali ya juu, huku akitunukiwa speed ya hali ya juu, alikuwa strong, anapiga miguu yote.. Kifupi pele alikuwa hatari mnoo, japo kuna watu wanajaribu kumpinga.
 
Ukipata fursa nyingine,mtazame na Diego Armando Maradona. Angalia usimkatae tu uliyeambiwa ni mfalme Wa soka
Daa nakumbuka Diego Amando Maradona siku alipoingia Tulin Italy kwenye club ya Napol, watoto 100 walibatizwa kwa jina lake la Maradona. Ukija na lile goli la mkono wa Mungu, basi ilikuwa bonge la burudani kabisa. Ila nyakati zinakimbia sana.
 
Ngoja Waje mashabiki wa andunje teja
 
Ila messi ni habar nyingne,yaan anacheza kwenye ulimwengu wa mpira wa science na elim ya darasan lakin bado anatupia,..enz za hawa wa zaman,competition ilikua sio kubwa,so best player wa miaka hii na miaka ile,wana utafaut mkubwa
 
Ngoja Waje mashabiki wa andunje teja
Kwangu andunje teja hamfikii hata andunje modern..

Maradona na messi mpira wao unafanana kila kitu, ila maradona kazidiwa dribbling ya messi ni nzuri zaidi, messi ni mwepesi kuliko alivyokuwa maradona, messi yuko na speed zaidi. Mengine wako sawa
 
Ila messi ni habar nyingne,yaan anacheza kwenye ulimwengu wa mpira wa science na elim ya darasan lakin bado anatupia,..enz za hawa wa zaman,competition ilikua sio kubwa,so best player wa miaka hii na miaka ile,wana utafaut mkubwa
Nampenda messi ila napinga hili..
 
Mhh. Nilikua naangalia hii channel 319mindset,wanaonyesha best footballers,nkawa nawaona ona hapa,nkasema ngoja nimwangalie huyu pelle maana anatajwa saaana,..nkaingia youtube,mhhhhh huyu jamaaa alikua balaaa kweli wazee
Kwa kizazi chake alikuwa balaa, ila kizazi cha sasa hata Giroud anamtoa nishai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…