Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
hakuna bondia kama Ali..anapigana unaona kabisa hela na muda wako unaenda kihalali..achana na ngumi njaa za akina Tyson..Ali anakupiga huku anakutukania mamaakoAli nimzuri kwa kucheza ngumi kwa round nyingi
messi anakijua nini bna weweMessi ni bora kuliko wote
Mkuu nahisi wewe utakuwa wa jana jana.Enzi hizo hakukuwa na offside full kuvizia na mabeki walikuwa mashoga shoga
Hapo kwenye ndondi kwa upande wangu Mike Tyson hadi Mimi niliyekuwa namwangalia nlikuwa namuogopa. Achana na ngumi za kudokoana na kuvizia halafu kutwa unazunguka ulingo wote.hakuna bondia kama Ali..anapigana unaona kabisa hela na muda wako unaenda kihalali..achana na ngumi njaa za akina Tyson..Ali anakupiga huku anakutukania mamaako
alipigana na maboya wengi..halafu ni ngumi njaa..nimpige fasta nikombe mahelaHapo kwenye ndondi kwa upande wangu Mike Tyson hadi Mimi niliyekuwa namwangalia nlikuwa namuogopa. Achana na ngumi za kudokoana na kuvizia halafu kutwa unazunguka ulingo wote.
Nimeangalia tena magoli ya pele, HAYANA skills, ni mazuri kwa kizazi hicho ila kwa kweli kwa sasa tuko advanced. Hayana nafasi.
Alafu wachezaji wa zamani hata hawajui kushangilia.
alipigana na maboya wengi..halafu ni ngumi njaa..nimpige fasta nikombe mahela
Namba 3 ni nani
Ivi De Lima anamzidije Messi na Cr 7?3.Ronaldo de lima
Kweli kabisa. Kubeba kombe la dunia isiwe sababu ya kuwa best player ever. Waliobeba kombe la dunia wapo wengi sana.Messi ni bora kuliko wote
Hapo 1 na 2 Mimi huwa sikubali,manake huwa naona 1 ni 2 na 2 ni 1
Ila messi ni habar nyingne,yaan anacheza kwenye ulimwengu wa mpira wa science na elim ya darasan lakin bado anatupia,..enz za hawa wa zaman,competition ilikua sio kubwa,so best player wa miaka hii na miaka ile,wana utafaut mkubwa
Kwangu andunje teja hamfikii hata andunje modern..
Maradona na messi mpira wao unafanana kila kitu, ila maradona kazidiwa dribbling ya messi ni nzuri zaidi, messi ni mwepesi kuliko alivyokuwa maradona, messi yuko na speed zaidi. Mengine wako sawa
Mnapowalinganisha Pele Na Maradona dhidi ya akina Messi pia muangalie aina ya viwanja vilivyokuwa vimatumika wakati huo na sheria za Mpira wakati huo.Viwanja vilikuwa vibovu Na walinzi 'rough'uwankani ilikuwa ya kuvunjana miguu.Hii mnayoita double clutch haikuwa kosa wala hapamuwa na kadi kwa kosa hiloNimeangalia tena magoli ya pele, HAYANA skills, ni mazuri kwa kizazi hicho ila kwa kweli kwa sasa tuko advanced. Hayana nafasi.
Alafu wachezaji wa zamani hata hawajui kushangilia.
Ali = floyd mayweather,..kudokoa na kukimbia,....tyson hajawai tokea bondia kama yeye dunian had leo hii,wenyew wamarekan wanakiri hilo,ndomana leo ukiongelea ngum referenc ni tyson,..had brand yake mpaka sasa,had konyag ina jina lakehakuna bondia kama Ali..anapigana unaona kabisa hela na muda wako unaenda kihalali..achana na ngumi njaa za akina Tyson..Ali anakupiga huku anakutukania mamaako
Pov la nin sasa mkuu,hapa si majadiliano tuu,..uswahil mwiiing,kama unaona vp usichangie uziMkuu vipi aise....Kitu kinajulikana kabisa alafu wewe unatuletea shombo hapa,, umemcheki pele tu, Diego umemcheki pia??? Walikuwepo Puskas, Cruiff, Alfredo de stefano n.k umewacheki????
1-King
2-Hakuna kabisa, huu ndio ukweli anaebisha abishe mpaka apasuke
3-King Diego
4-Pele
5-Alfredo de Stefano
6-Cruiff
7-Zidane
8-Requelme
9-Cr7
10-Puskas
11-Di lima
Enzi za pele watu walikuwa wanajifungia kiholela/hovyo, ,, offside mtu anajipigia anavyotaka,,yani mpira wa zamani ulikuwa vichekesho sana 😀 sheria hakuna, yellow n red cards sidhani kama zilitumika wakati huo....lakini mtu ukimwambia haya maneno haamini. Wabongo ndivyo tulivyo....twendelee kusubiri viwonder ifikapo 2050.
Bas kama point ni ubora wa viwanja una determine uchezaji,bas wachezaj wa bongo ni bora kuliko wote dunian,au sioMnapowalinganisha Pele Na Maradona dhidi ya akina Messi pia muangalie aina ya viwanja vilivyokuwa vimatumika wakati huo na sheria za Mpira wakati huo.Viwanja vilikuwa vibovu Na walinzi 'rough'uwankani ilikuwa ya kuvunjana miguu.Hii mnayoita double clutch haikuwa kosa wala hapamuwa na kadi kwa kosa hilo
Kwa aina ya mpira Wa zamani ulikuwa umachezwa kwenye hali ngumu sana kiasi kwamba Messi Na wengineo Wa sasa wasingehimili ila kwa maboresho ya sheria Na viwanja Pele Na Maradona wangekuwa hatari zaidi.
Hivi Messi anaweza kuucheza Moira vizuri kwenye viwanja vyetu vya ndondo cup Kama kule Mkwakwani,Jamhuri Morogoro,Kirumba n.k
Wenzetu wanapowaweka hao jamaa nafasi za juu si kwamba hawajui Messi ni bora ila mazingira yanafanana?
Sasa unadhani ubora Wa uwanja hauongezi ubora Wa mchezaji? Na unafikiri kwanini wanaboresha ubora Wa viwanja.Bas kama point ni ubora wa viwanja una determine uchezaji,bas wachezaj wa bongo ni bora kuliko wote dunian,au sio