Nikasema nilikuwa na Jini mahaba…..!

Inafaa kwenye magazeti ya udaku sehemu ya chombezo.

Kaka Mtambuzi hatungi hizi stori...

Ila ni stori za kweli za matukio tena ya hapa Tanzania,anazozinukuu mahali... Hivi nataka aiweke stori moja one of the best... Inayohusu kijana aliyekuwa anatumwa na bosi wake wa Kihindi kwa kumtafutia kina dada... (ukuwadi)
 
Swaiba salama lkn,
Huyu mdingi huwa anafanikiwa ila anaona so kusema anaogopa tutamharibia kwa maza lol,
Haiwezekan matukio yote haya awe anaishia kukosa tu lzm huwa anabahatika ila ndio ivo tena!!!
Poa!
yeye naona story zake zoote anakuwa kama Dr Love (PIMBI)
 
Mshikaji mtunzi mzuri sana anafaa awe anatoa vitabu
Utunzi wa vitabu haulipi kabisa, ni bora niendelee na hii kazi yangu ufundi mchundo ya kutengeneza Majiko hapa Gerezani
 
Kila nafsi ina majuto yake,pole kwa vitasa! ukweli ni kwamba hakuna mwanamke mgumu, ila ujuzi wa kutongoza ni tatizo la kitaifa nadhani................
 
Kila nafsi ina majuto yake,pole kwa vitasa! ukweli ni kwamba hakuna mwanamke mgumu, ila ujuzi wa kutongoza ni tatizo la kitaifa nadhani................
Karibu sana JF mkuu........ Naomba uwasiliane na Invisible akupe vigezo na masharti vya hapa JF ili tuende sambamba.......
Kuhusu mwanamke mgumu au mrahisi, sidhani kama kuna jibu la moja kwa moja lakini kwa mimi niliyekulia kijijini, wakati nabalehe, ilikuwa bila sarakazi na mieleka hupati kitu kabisa.
Utatongoza lakini hutaeleweka na utasikia tu kwa wenzako kwamba wamemega...............Mbinu kuu ilikuwa ni kuwavizia w2akienda mtoni au kukata kuni na mnamalizana huko huko baada ya kupigana mieleka kisawasawa.............LOL
 
Aisee nimekukubali mkuu ila ulifanya kosa kumuharakisha wadizaini hiyo unaanzaga kuwatania kwa kuwapiga piga makalio huku unamsifia
 
mkuu mbona huwa usemi unapofanikiwa bwana, walau uwe unasema ulipofanikiwa wewe zote ulikuwa unakosa tuu!

Swaiba salama lkn,
Huyu mdingi huwa anafanikiwa ila anaona so kusema anaogopa tutamharibia kwa maza lol,
Haiwezekan matukio yote haya awe anaishia kukosa tu lzm huwa anabahatika ila ndio ivo tena!!!
Nyie hamna kumbukumbu Mtambuzi alifanikiwa kumlamba housegirl mpaka akapata mimba, kuzaa mtoto mwarabu..lol!
 
Nyie hamna kumbukumbu Mtambuzi alifanikiwa kumlamba housegirl mpaka akapata mimba, kuzaa mtoto mwarabu..lol!
Hahahaha hahahaha,
Umenikumbusha aisee,
Lkn si uliona mwishon akageuza kibao eti mtoto alikuwa wa kiarabu!!!
Mie nilishamstukia huwa anafanikiwa ila anachakachua ukweli na kutupotezea!
Mdingi wetu ni noma aisee!
 
Mkuu, you seem to clever lakini inaonekana kuwa huyo dada was clever than you.
Sasa naomba kuuliza siku za hivi karibuni umewahi kumkumbusha hilo tukio hata kwa kumtania tu?
Duh asie hiyo ni ngumu ningekua mimi ningehama mtaa usiku huo huo.
Pole sana kaka kwa aibu uliyoipata mbele ya watu unaowaheshim ni sawa na mtu kukuvua nguo hadharani
Thanks
 
Sasa mzee mtambuzi mjini ulikuja marangapi toka umalize form four? Maana mara yakwanza ulifikia kwa kaka yako na leo tena kwa mjomba wako...
 
Nyie hamna kumbukumbu Mtambuzi alifanikiwa kumlamba housegirl mpaka akapata mimba, kuzaa mtoto mwarabu..lol!

Ile ilikuwa bonge la noumer mpaka trial marriage yangu ikaota mbawa......................House Girl wa Kimwela alinizidi ujanja yule, sitasahau.............LOL
 
hivi hizi story zako huwa unazitolea wapi?
Hizi stori ni za ujanani wakati huo ndio nilikuwa nimebalehe, kijana shababi mwenye siha ya kutosha, damu inachemka na unataka kutimiza hitaji la mwili ambalo liko nje ya uwezo wako.................Lolote linaweza kutokea na ndio chanzo cha misukosuko hii ninayoisimulia........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…