VeroEretico
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 512
- 398
Bonge la ubunifu 😀😀😀
😁
CFA naomba ufafanuzii wake...Jaribu kutafuta scholarship,Chukua MBA with Finance kisha Chartered Financial Analyst (CFA) itakupa fursa nyingi sana
Zama jalalani(google) coz ni pana sanaCFA naomba ufafanuzii wake...
hapa ndipo msingi wa tatizo ulipo.na mbaya zaidi naishi nyumbani though nilitimuliwa nikarudi tena
Mkuu ukielezea pia sio vibaya....ingependeza zaidi hata wadogo zetu Inge wasaidia.......Zama jalalani(google) coz ni pana sana
Mkuu ufafanuzi tafadhali kwanini haiwezekani siku hizi?Nashauri azingatie yote uliyomwambia isipokuwa la kwamba kama amesomea fani nyingine tofauti na uwalimu akasome postgraduate ya ualimu ili aje aajiriwe, hilo haiwezekani siku hizi hawaajiri walimu wa aina hiyo