Nikasome ipi kati ya masters ya education au nitafute bachelor ya kitu kingine

Nikasome ipi kati ya masters ya education au nitafute bachelor ya kitu kingine

Nenda veta chagua fani za mda mfupi kasome zitakusaidia
Mfano (ufundi Mwashi, Umeme, welding, mechanics, fundi bomba na kadhalika)
 
achana na ujinga unaoitwa shule, fedha uliyonayo nunua bajaji
then piga kazi mwenyewe
 
Kafuge kuku

Utapiga hela,trusted me
20220816_193958.jpg
 
Usithubutu kufanya masters ya tofauti maana kwenye Ajira za serikali masters haitambuliki. Hivyo ni Bora kufanya masters ya education Ila ni vizuri Zaid ukasoma bachelor nyingine mfano health management, procurement , physical education, account, Human resources au IT. Nakukuhakikishia hizo kozi ukiajiriwa kama mwalim hutamaliza mwaka, watakuhamishia kitengo kingine.
 
Asanteni wanajamiiforum kwa michango yenu iliyotukuka, sasa nimefikiria kuachana na habari za kusoma

Mawazo yenu yameniinua sana
 
Kasome ww acha bange. Ukisoma umewekeza pa kubwa mno. Kila mtu na bahati yake huwenda ilipangwa utoke kupitia Masters afu ww unabana pua hapa eboo!! Achana na watu wenye makasiriko kutokana na kukosa ajira kupitia Elimu tazama msimamo wako upo wapi. Km ulitusua vizur bachelor degree kasome masters. Km utakaa mtaani basi Oa unazeeka mzee mwisho wa siku hakuna ulichokifanya
 
Kasome fani..fungua kijiwe saka pesa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nashauri azingatie yote uliyomwambia isipokuwa la kwamba kama amesomea fani nyingine tofauti na uwalimu akasome postgraduate ya ualimu ili aje aajiriwe, hilo haiwezekani siku hizi hawaajiri walimu wa aina hiyo
Mkuu ufafanuzi tafadhali kwanini haiwezekani siku hizi?
Na wanatakaje ili uajiriwe?
 
Jaribu ufugaji na kilimo Kam biashara zingine huwezi, ila masters sikushauri.
 
Back
Top Bottom