Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hiyo promo imepelekea nikaongeze idadi ya viewer huko youtubeBinadamu wanajua kutafuta pesa aisee. Unatengeneza kesi, unashinda, unaweka propaganda kiatu kina damu ya binadamu, unakiita kiatu cha shetani, walokole wanakipigia promo kwa kukipinga, kisha unauza M2 na ushee. Hapo akisema tu kinakupa utajiri atauza 5m
HahahaYani hiyo promo imepelekea nikaongeze idadi ya viewer huko youtube
😂 😂 😂 😂Binadamu wanajua kutafuta pesa aisee. Unatengeneza kesi, unashinda, unaweka propaganda kiatu kina damu ya binadamu, unakiita kiatu cha shetani, walokole wanakipigia promo kwa kukipinga, kisha unauza M2 na ushee. Hapo akisema tu kinakupa utajiri atauza 5m
Hujasema mkuu ,wamepewa Tuzo gani hao Nike baada ya kushinda?!Kampuni maarufu kwa viatu vya michezo ya Nike imeshinda keshi dhidi ya kampuni ya MSCHF juu ya ‘Viatu vya shetani’ vilivyosababisha utata ambavyo zinasemekana kuwa na tone la damu ya binadamu kwenye soli yake.
![]()
Viatu hivyo vinavyouzwa kwa dola 1,018 sawa na (pauni 740), ambavyo vimechorwa alama ya msalaba iliyopinduliwa na pentagramu (nyota ya ncha tano katika duara) na maneno “Luka 10:18”, vimetengenezwa kwa kuboresha muundo wa kiatu cha Nike Air Max 97s.
MSCHF ilitengeneza viatu hivyo kwa ushirikiano na mwanamuziki Lil Nas X.
Kampuni ya MSCHF ilisema kuwa ilitengeneza viatu 666 pekee na vyote tayari vishauzwa.
Kampuni ya Nike imedai kuwa MSCHF imetumia nembo yake ya kibiashara na kuomba mahakama kusitisha kampuni hiyo kuuza viatu hivyo na pia iizuie kutumia nembo yao ya muda mrefu maarufu kama ‘Swoosh’.
“Kampuni ya MSCHF na viatu vyake vya shetani ambavyo havijaidhinishwa kuna uwezekano mkubwa kukasababisha mkanganyiko na dhana fulani na kutengeneza fikra mbaya kati ya bidhaa ya kampuni ya MSCHF na kampuni ya Nike,” Kampuni hiyo ya utengenezaji viatu vya michezo imesema.
MSCHF ilizindua viatu vya rangi nyeusi na nyekundu “vilivyotolewa” Jumatatu, ikiwa ni sambamba na uzinduzi wa nyimbo mpya ya mwanamuzi Lil Nas X ya Montero ya (Call Me By Your Name), ambayo ilitolewa kwa mara ya kwanza kwenye mtandao wa YouTube Ijumaa iliyopita.
Katika video ya muziki huo, mwanamuziki huyo wa rapa anateleza kwenye mlingoti kutoka peponi au mbinguni hadi jehanamu au motoni, akiwa amevaa viatu hivyo.
Taswira na hiyo na viatu ambavyo vimeandikwa andiko la Bibilia Luka 10:18 – “Akawaambia, ‘Nilimuona shetani akianguka kama radi kutoka mbinguni’.”
Kila kiatu kina soli maalum ya muundo wa kampuni ya Nike yenye sentimita za ujazo 60 za wino mwekundu na tone la damu ya binadamu, ambayo ilichangiwa na wanachama wa kampuni hiyo.
Katika kesi yake, kampuni ya Nike imesema kuwa haikuidhinisha utengezaji wa viatu hivyo vya shetani.
![]()
“Tayari kuna ushahidi wa kutosha unaoonesha mkanganyiko na dhana potofu sokoni, ikiwemo wito wa kutaka watu kususia bidhaa za kampuni ya Nike kufuatia uzinduzi wa viatu vya shetani vya kampuni ya MSCHF, ambavyo inaonekana kana kwamba kampuni ya Nike ndiyo ambayo imeidhinisha na kuruhusu utengenezaji wa bidhaa za hiyo,” kampuni ya Nike ilisema.
Kesi pia ilirejelea ujumbe wa mtandao wa Twitter uliotumwa na mshawishi mkubwa wa viatu saint Ijumaa iliyopita, ambao ulianza kuarifu wateja wake kuhusu kuzinduliwa kwa viatu hivyo na kuvipa umaarufu zaidi wikendi iliyopita kwenye mtandao wa kijamii na hata vyombo vya habari vya Marekani.
Baadhi ya wenye msimamo mkali akiwemo gavana wa Dakota Kusini Kristi Noem, na wafuasi wengine wa kidini, wameshutumu viatu hivyo vyenye utata na kumkosoa rapa Lil Nas X na kampuni ya MSCHF kwenye mtandao wa Twitter.
Hata hivyo, Lil Nas X alimjibu gavana huyo pamoja na viongozi wa kidini kwenye mtandao wa Twitter, na Jumatatu katika mtandao huo, kulikuwa na vibonzo vya mzaha kwenye wasifu wake baada ya kampuni ya Nike kusema kwamba imechukua hatua ya kisheria.
![]()
McKenzi Norris kutoka South Carolina, aliyenunua viatu hivyo, amesema kesi iliyowasilishwa na Nike imevuruga mipangilio yake ya kuuza tena viatu hivyo kwa dola 2,500 katika mtandao wa eBay, ambao uliondoa tangazo lake la kuviuza.
“Kwa ujumla, nafikiria kesi iliyowasilishwa na kampuni ya Nike haina msingi wowote ukizingatia uharibifu ambao imesababisha kwa watu wa kawaida kama mimi ambao biashara yao ni kununua bidhaa na kuziuza tena kwa njia halali,” amesema.
Pia rejea
Kampuni ya Nike yafungua kesi kwa madai ya kuibiwa chapa ya Viatu vya shetani
Kampuni ya Nike inashitaki ubunifu wa kampuni ya MSCHF iliyopo Brooklyn juu ya uzinduzi wa kile kinachosemekana kuwa “Kiatu cha shetani” chenye tone la damu ya kweli ya binadamu kwenye soli za viatu. Viatu hivyo vinavyouzwa kwa dola 1,018 sawa na (Tsh 2358910.76), ambavyo vimechorwa alama ya...www.jamiiforums.com
Luka 10:18, nami nikamwona shetan akianguka toka mbinguni kama radiKampuni maarufu kwa viatu vya michezo ya Nike imeshinda keshi dhidi ya kampuni ya MSCHF juu ya ‘Viatu vya shetani’ vilivyosababisha utata ambavyo zinasemekana kuwa na tone la damu ya binadamu kwenye soli yake.

Hivi inakuwaje mnamkosea adabu Mola wetu ?Akishinda nike kashinda Mungu
Wewe unavaa Balanciaga sio?Sina comment hapa🚶🚶🚶
SijakuelewaHivi inakuwaje mnamkosea adabu Mola wetu ?
Hili ni tusi na utovu wa Adabu bali ni kufuru kwa Mola muumba.Sijakuelewa
Yeah si tusi hii kesi ilikuwa Nike against shetani ... Nike kashindaHili ni tusi na utovu wa Adabu bali ni kufuru kwa Mola muumba.
"Akishinda nike kashinda Mungu"
Siongelei kesi naongelea ulichokiandika wewe kwamba Akishinda Nike maana yake Ameshinda Mungu.Yeah si tusi hii kesi ilikuwa Nike against shetani ... Nike kashinda
Ok sawa... Naona lugha imekutatiza lakini maana yangu haikuwa kwa tafsiri yakoSiongelei kesi naongelea ulichokiandika wewe kwamba Akishinda Nike maana yake Ameshinda Mungu.
Mola hashindwi na jambo, na kumnasibisha na ushinda kwa namna yoyote ni kosa.
Maana yako ni kuwa Nike yuko dhidi ya hao watu, na hao watu wenye wazo na fikra juu ya jambo lao lenye munasaba wa Shetani kama waonavyo wao.Ok sawa... Naona lugha imekutatiza lakini maana yangu haikuwa kwa tafsiri yako
Nisaidie tafsiri ya andiko lililoko kwenye kiatu hapo Luka 10:18 in relation to hicho kiatuNIKE WASHINDA KESI ZIDA YA KAMPUNI ILIYOKUWA IKITUMIA NEMBO YA NIKE KWENYE VIATU VYAO WALIVYOZINDUA JUZI.
=====
Kampuni maarufu kwa viatu vya michezo ya Nike imeshinda keshi dhidi ya kampuni ya MSCHF juu ya 'Viatu vya shetani' vilivyosababisha utata ambavyo zinasemekana kuwa na tone la damu ya binadamu kwenye soli yake.
Viatu hivyo vinavyouzwa kwa dola 1,018 sawa na (pauni 740), ambavyo vimechorwa alama ya msalaba iliyopinduliwa na pentagramu (nyota ya ncha tano katika duara) na maneno "Luka 10:18", vimetengenezwa kwa kuboresha muundo wa kiatu cha Nike Air Max 97s.
MSCHF ilitengeneza viatu hivyo kwa ushirikiano na mwanamuziki Lil Nas X.
Kampuni ya MSCHF ilisema kuwa ilitengeneza viatu 666 pekee na vyote tayari vishauzwa.
Kampuni ya Nike imedai kuwa MSCHF imetumia nembo yake ya kibiashara na kuomba mahakama kusitisha kampuni hiyo kuuza viatu hivyo na pia iizuie kutumia nembo yao ya muda mrefu maarufu kama 'Swoosh'.
"Kampuni ya MSCHF na viatu vyake vya shetani ambavyo havijaidhinishwa kuna uwezekano mkubwa kukasababisha mkanganyiko na dhana fulani na kutengeneza fikra mbaya kati ya bidhaa ya kampuni ya MSCHF na kampuni ya Nike," Kampuni hiyo ya utengenezaji viatu vya michezo imesema.
Akitoa uamuzi unaopendelea kampuni ya Nike, jaji alitoa agizo la kuzuia uuzaji wa viatu hivyo hapo jana Alhamisi.
MSCHF ilizindua viatu vya rangi nyeusi na nyekundu "vilivyotolewa" Jumatatu, ikiwa ni sambamba na uzinduzi wa nyimbo mpya ya mwanamuzi Lil Nas X ya Montero ya (Call Me By Your Name), ambayo ilitolewa kwa mara ya kwanza kwenye mtandao wa YouTube Ijumaa iliyopita.
Katika video ya muziki huo, mwanamuziki huyo wa rapa anateleza kwenye mlingoti kutoka peponi au mbinguni hadi jehanamu au motoni, akiwa amevaa viatu hivyo.
Taswira na hiyo na viatu ambavyo vimeandikwa andiko la Bibilia Luka 10:18 - "Akawaambia, 'Nilimuona shetani akianguka kama radi kutoka mbinguni'."
Kila kiatu kina soli maalum ya muundo wa kampuni ya Nike yenye sentimita za ujazo 60 za wino mwekundu na tone la damu ya binadamu, ambayo ilichangiwa na wanachama wa kampuni hiyo.
Katika kesi yake, kampuni ya Nike imesema kuwa haikuidhinisha utengezaji wa viatu hivyo vya shetani.
Satan Shoes
"Tayari kuna ushahidi wa kutosha unaoonesha mkanganyiko na dhana potofu sokoni, ikiwemo wito wa kutaka watu kususia bidhaa za kampuni ya Nike kufuatia uzinduzi wa viatu vya shetani vya kampuni ya MSCHF, ambavyo inaonekana kana kwamba kampuni ya Nike ndiyo ambayo imeidhinisha na kuruhusu utengenezaji wa bidhaa za hiyo," kampuni ya Nike ilisema.
Kesi pia ilirejelea ujumbe wa mtandao wa Twitter uliotumwa na mshawishi mkubwa wa viatu saint Ijumaa iliyopita, ambao ulianza kuarifu wateja wake kuhusu kuzinduliwa kwa viatu hivyo na kuvipa umaarufu zaidi wikendi iliyopita kwenye mtandao wa kijamii na hata vyombo vya habari vya Marekani.
Baadhi ya wenye msimamo mkali akiwemo gavana wa Dakota Kusini Kristi Noem, na wafuasi wengine wa kidini, wameshutumu viatu hivyo vyenye utata na kumkosoa rapa Lil Nas X na kampuni ya MSCHF kwenye mtandao wa Twitter.
Ruka Twitter ujumbe, 1
Hata hivyo, Lil Nas X alimjibu gavana huyo pamoja na viongozi wa kidini kwenye mtandao wa Twitter, na Jumatatu katika mtandao huo, kulikuwa na vibonzo vya mzaha kwenye wasifu wake baada ya kampuni ya Nike kusema kwamba imechukua hatua ya kisheria.
McKenzi Norris
Chanzo cha picha, BBC OS on World Service radio