Nike yashinda kesi yake ya ‘Viatu vya shetani

Biashara yake ingeenda vizuri tu kulikua hakuna hata haja ya kuweka alama ya nike kwenye kiatu chake
 
Maana yako ni kuwa Nike yuko dhidi ya hao watu, na hao watu wenye wazo na fikra juu ya jambo lao lenye munasaba wa Shetani kama waonavyo wao.

Kama maana yako si hii, basi hii lugha ni ngumu sana.
Asante...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ahsante kwa nyongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…