Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
TafutaTupe track yake moja ili tumjue kweli kama ni mkali
Namkubali sana ila ulevi haujawahi kumuacha salamaIla huyu nae..anaacha alafu anarudi tena
Pia tafuta feedback...hiyo ndio balaa kabisaTupe track yake moja ili tumjue kweli kama ni mkali
Akibadili ndo atapewa support??Harakati bila pesa ni bure Nikki Mbishi ni msanii bora sana ila support hakuna siyo mbaya akibadilika.
Kumbe na wewe unamjua?Ila huyu nae..anaacha alafu anarudi tena
Mbona sio mlevi kihivyo?Namkubali sana ila ulevi haujawahi kumuacha salama
Namfuatilia sana..coz namkubali mno..ila anazinguaKumbe na wewe unamjua?