Niki Mbishi ameacha rasmi kufanya muziki wa hip hop

Niki Mbishi ameacha rasmi kufanya muziki wa hip hop

Hip hop ni Marekani tu, huku kwetu Kaswida ikiwekewa beat ya Hip hop ndio tunajipa moyo.
 
Wakatia anafanya hiphop ngumu ulimfanyia kitu gani?....

Kama anapiga miguu yote acha apige tu sio kisa umezoea wa kulia akipiga na shoto ndio iwe tabu....
 
Kuna mstari kwenye tungo za fid q ana sema (sitainyea kambi ili ni wabambe sokoni ) naona niki kanyea kambi ili abambe sokoni
 
We ni Duke? Kama sio Duke basi hulitendei haki hilo jina! Anyways ukipigwa redioni ndo shows na endorsements huja, japo siku hizi social networks zimeanza kurahisisha
Exactly, umejibu vizuri sana usiipatie media nguvu kiasi hicho, kuna wasanii wengi tu wanapewa promo ya kufa mtu clouds lakini hawafanyi shows wala hawana maisha mazuri
 
Exactly, umejibu vizuri sana usiipatie media nguvu kiasi hicho, kuna wasanii wengi tu wanapewa promo ya kufa mtu clouds lakini hawafanyi shows wala hawana maisha mazuri
Yah kwa kweli social networks zinasaidia sana kwa sasa, mtu kana unaweza watu watakujua tu. Ila mashabiki wengi bado wanaamini kwamba mtu kutoboa ni mpaka apigwe redioni wamsikie, sidhani kama ukiheat kwenye social networks pekee itakufanya upate shows mpaka ujaze.
 
Hapo inategemeana msanii amepokelewa vipi either iwe redioni au kwenye social networks
 
Haina shida mzee, its ok
Amani na Upendo, by the way Unju is one of the best, yaani huyu jamaa hapati kile anachostahili, na Tamaduni kwa ujumla. Watu wamekuwa wakiishia kuwasifia tu lakini wakitoa kazi hawanunui, shows hawaendi. Ila hao wanaoitwa Mawack wakitoa ngoma zao za ovyo ndo zinapendwa na kujaza shows
 
Hapo inategemeana msanii amepokelewa vipi either iwe redioni au kwenye social networks
Yah exactly, nafikiri branding pia iwe muhimu, msanii asijichukulie wa kawaida. Sababu ukijichukulia wa kawaida mashabiki pia watakuona wa kawaida.
 
Nikki mkali Sana cjui ana fail wapi tu ngoma zake zina ishia magethoni tu
 
Back
Top Bottom