Daaa!!!!! Wimbo wake gani unauelewa nitajie nyimbo zake tatu au nneNamfuatilia sana..coz namkubali mno..ila anazingua
Akiimba laini, wananunua???Wakiimba ngumu hamnunui, wakiimba laini mnaponda...
Sijakuelewa hapoHip hop ni Marekani tu, huku kwetu Kaswida ikiwekewa beat ya Hip hop ndio tunajipa moyo.
Inakuwa afadhali kidogo, kupigwa redioni, shows... Au unadhani kwa nini wagumu wanalainika?Akiimba laini, wananunua???
Kwani ngoma zikipigwa radioni analipwa????Inakuwa afadhali kidogo, kupigwa redioni, shows... Au unadhani kwa nini wagumu wanalainika?
We ni Duke? Kama sio Duke basi hulitendei haki hilo jina! Anyways ukipigwa redioni ndo shows na endorsements huja, japo siku hizi social networks zimeanza kurahisishaKwani ngoma zikipigwa radioni analipwa????
Exactly, umejibu vizuri sana usiipatie media nguvu kiasi hicho, kuna wasanii wengi tu wanapewa promo ya kufa mtu clouds lakini hawafanyi shows wala hawana maisha mazuriWe ni Duke? Kama sio Duke basi hulitendei haki hilo jina! Anyways ukipigwa redioni ndo shows na endorsements huja, japo siku hizi social networks zimeanza kurahisisha
Ndiyo mimi ndiye duke gervakiusWe ni Duke? Kama sio Duke basi hulitendei haki hilo jina! Anyways ukipigwa redioni ndo shows na endorsements huja, japo siku hizi social networks zimeanza kurahisisha
Yah kwa kweli social networks zinasaidia sana kwa sasa, mtu kana unaweza watu watakujua tu. Ila mashabiki wengi bado wanaamini kwamba mtu kutoboa ni mpaka apigwe redioni wamsikie, sidhani kama ukiheat kwenye social networks pekee itakufanya upate shows mpaka ujaze.Exactly, umejibu vizuri sana usiipatie media nguvu kiasi hicho, kuna wasanii wengi tu wanapewa promo ya kufa mtu clouds lakini hawafanyi shows wala hawana maisha mazuri
Oooh shikamoo brother, na samahani sana kama nitakuwa nimekukwaza kivyovyote vile. HESHIMA YAKO.Ndiyo mimi ndiye duke gervakius
Haina shida mzee, its okOooh shikamoo brother, na samahani sana kama nitakuwa nimekukwaza kivyovyote vile. HESHIMA YAKO.
Hapo inategemeana msanii amepokelewa vipi either iwe redioni au kwenye social networksYah kwa kweli social networks zinasaidia sana kwa sasa, mtu kana unaweza watu watakujua tu. Ila mashabiki wengi bado wanaamini kwamba mtu kutoboa ni mpaka apigwe redioni wamsikie, sidhani kama ukiheat kwenye social networks pekee itakufanya upate shows mpaka ujaze.
Amani na Upendo, by the way Unju is one of the best, yaani huyu jamaa hapati kile anachostahili, na Tamaduni kwa ujumla. Watu wamekuwa wakiishia kuwasifia tu lakini wakitoa kazi hawanunui, shows hawaendi. Ila hao wanaoitwa Mawack wakitoa ngoma zao za ovyo ndo zinapendwa na kujaza showsHaina shida mzee, its ok
Yah exactly, nafikiri branding pia iwe muhimu, msanii asijichukulie wa kawaida. Sababu ukijichukulia wa kawaida mashabiki pia watakuona wa kawaida.Hapo inategemeana msanii amepokelewa vipi either iwe redioni au kwenye social networks
Yule mkeo aliyekuwa anatembea na baba mdogo wake bado upo naye???Nikki mkali Sana cjui ana fail wapi tu ngoma zake zina ishia magethoni tu