Tembomtata
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 266
- 426
Nimekuwa nikifuatilia Weusi kwa muda sasa na nimekuwa impressed nao sio kwa kazi zao hata character zao as individuals hasa joh makin na g nako. Ila am not impressed for the case of Niki, amekuwa muongeaji kupita maelezo, mafanikio madogo atakuza kila mtu ajue (PhD) kila mtu aone anasoma, my young bratha in todays world u dont need to say to show off for things that any one can do it.
Nimekaa na watu wengi wa Arusha sio watu waongeaji coz wamezoea mafanikio lakini wewe u have a strange character.
Maneno maneno achia hawa watoto wa uswahilini remember umetoka wapi. Umepata tu admission ya PhD unatangaza fanya kazi kwanza then kazi ikutangaze.