Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Wewe ndio unaongea sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinamuuma kuona mwana-hip hop wa flavor za bongo anachukua PhD... walizoea kuita wasanii kwamba ni wahuni... ni hilo tu, basi!Haya kama anatangaza we kinakuuma nini tangaza na we yako kama umesoma
mkuu nakuunga mkono.suala la elimu siku hizi ni kitu cha kawaida sana sioni haja ya yeye kujitangaza ovyo.
Kinamuuma kuona mwana-hip hop wa flavor za bongo anachukua PhD... walizoea kuita wasanii kwamba ni wahuni... ni hilo tu, basi!
Tatizo ni kwamba wengine wapo behind the changes!hahaha umeona eeeh sasa hawataki kukubali mabadiliko
Haya kama anatangaza we kinakuuma nini tangaza na we yako kama umesoma
kasome wweh,acha povu....
Mbona ukipomaliza memkwa ulitangaza?mkuu nakuunga mkono.suala la elimu siku hizi ni kitu cha kawamida sana sioni haja ya yeye kujitangaza ovyo.
Bank ana sh ngapi kwani huyo Nikki?