GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tokea nijiunge hapa JamiiForums mwaka 2013 hadi leo sijawahi kuwa na tatizo la kukosa Bando. Na kinachonishangaza zaidi Kutwa mnahubiri Chuki dhidi yangu hapa JamiiForums huku mkisema hamvutiwi na Mada zangu lakini 24/7 nyie ndiyo mnaaongoza Kuzifungua na Kuzisoma. Je, hapa nikiwaiteni Wendawazimu nitakuwa nakosea?NAONA LEO UNA BANDO KILA MUDA UZI
Hana Tamaa hiyo na huo Ujuha walionao Wanasiasa wengi.Kwani yeye hataki teuzi..?
Ni Khela au Hela Mkuu>?Ni kweli alivyosema maana siasa ni ngumu na ya ajabu ila khela Sasa!!
Sasa Hapo chuki ipo wapi ndugu?Tokea nijiunge hapa JamiiForums mwaka 2013 hadi leo sijawahi kuwa na tatizo la kukosa Bando. Na kinachonishangaza zaidi Kutwa mnahubiri Chuki dhidi yangu hapa JamiiForums huku mkisema hamvutiwi na Mada zangu lakini 24/7 nyie ndiyo mnaaongoza Kuzifungua na Kuzisoma. Je, hapa nikiwaiteni Wendawazimu nitakuwa nakosea?
Kuhusu kuanzisha Uzi kaa tayari kuna Threads zingine kama 15 hivi naenda Kuzianzisha muda si mrefu na Utazisoma tu.
Na kinachonishangaza zaidi Kutwa mnahubiri Chuki dhidi yangu hapa JamiiForums huku mkisema hamvutiwi na Mada zangu lakini 24/7 nyie ndiyo mnaaongoza Kuzifungua na Kuzisoma. Je, hapa nikiwaiteni Wendawazimu nitakuwa nakosea?Sasa Hapo chuki ipo wapi ndugu?
Grow up bro! Kwa hiyo hujihusishi na siasa una unawaachia hao mbwa wakutawale? Sema tu wewe siyo msomi. Ni msomi uchwala kama huyo unayemtaja.Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu.
Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi (CUF), amesema akijitosa katika siasa hivi sasa atajitoa kafala, ndio maana amejiondoa huko akidai hakuna watu makini.
Chanzo: mwananchi_official
Niliwahi kumwambia Mtu kwa sasa unahitaji Moyo wa Mwendawazimu ukiwa Msomi kujihusisha na Siasa za Tanzania.
Mkuu ,achana na Prof uchwara kamahaoHana Tamaa hiyo na huo Ujuha walionao Wanasiasa wengi
Siasa zinawafaa wanunuzi wa PhDMtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu.
Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi (CUF), amesema akijitosa katika siasa hivi sasa atajitoa kafala, ndio maana amejiondoa huko akidai hakuna watu makini.
Chanzo: mwananchi_official
Niliwahi kumwambia Mtu kwa sasa unahitaji Moyo wa Mwendawazimu ukiwa Msomi kujihusisha na Siasa za Tanzania.