Nikiambiwa nitaje Upuuzi wa Kufungia Mwaka 2022 haya Makubwa Mawili lazima yataongoza tu

Nikiambiwa nitaje Upuuzi wa Kufungia Mwaka 2022 haya Makubwa Mawili lazima yataongoza tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
UPUUZI #1.

" Kama Viongozi wa Yanga wakibaini Azam FC ndio wanamdanganya Feisal Salum aende kwao basi tunawaomba Viongozi wetu wavunje ule mkataba wetu na Azam halafu na sisi mashabiki wa Yanga hatutanunua bidhaa zozote za Azam " - Wazee wa Yanga na Viongozi wa matawi Yanga.

UPUUZI #2.

Chadema: Tuna dhamira kushika dola 2025

Hovyo kabisa.....!!!!
 
Hilo la yanga ndio upuuzi namba moja kufungia mwaka, eti wakigundu nyuma ya sakata la fei toto kuna azam watavunja mkataba. Yaani wavunje mkataba na mdhamini kisa fei kwenda azam, sasa kama huyo mdhamini wao azam alipa yanga nzima mamilioni ya pesa atashindwa nini kwa fei toto mmoja kumnyakua? Hao wazee wa yanga wameingia chaka kutamka kuvunja mkataba na ni aibu kwa yanga yote
 
Back
Top Bottom