Hilo la yanga ndio upuuzi namba moja kufungia mwaka, eti wakigundu nyuma ya sakata la fei toto kuna azam watavunja mkataba. Yaani wavunje mkataba na mdhamini kisa fei kwenda azam, sasa kama huyo mdhamini wao azam alipa yanga nzima mamilioni ya pesa atashindwa nini kwa fei toto mmoja kumnyakua? Hao wazee wa yanga wameingia chaka kutamka kuvunja mkataba na ni aibu kwa yanga yote