Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Tunayo mkuuHatuna amani tuna uoga
SawaTunayo mkuu
Tufuate SHERIA na katiba yetuKama sio sasa ni lini?
Tusiige hao mkuuNdo tunakoelekea huko 🤒😎
Na sisi Mara ndiyo tutalikomboa hili Taifa. Tuliwatoa kwenye Ukoloni wa watu weupe.arusha mara na mbeya wanaweza tatizo ni hiyo mikoa mingne ya ajabu ajabu
Harafu tuwe na msimamo mmoja tukikaa kimya wanatuita maiti tukianzisha vurumati tunaambiwa hatupendi nchiHabr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya .pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine. Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari. Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
Ni mara mia mngetuacha kwa hao wakoloni weupe tungekua tumefika mbali san kuliko hawa watawala wa africa wenzetuNa sisi Mara ndiyo tutalikomboa hili Taifa. Tuliwatoa kwenye Ukoloni wa watu weupe.
Nasasa tutawatoa, kwa hawa wakoloni weusi wasiojielewa.
Hili hata mimi nakubaliana nawewe. Babu aliharakisha akijua wakoloni weusi, wako kama yeye.Ni mara mia mngetuacha kwa hao wakoloni weupe tungekua tumefika mbali san kuliko hawa watawala wa africa wenzetu
Wapigania uhuru wengi wa africa walikua na ajenda zao binafsi na sio kuleta maendeleo ya kweli nchini mwao waliwadanganya wafrica wenzao wakatuingiza mkenge tukawafurusha wakoloni matokeo yake wametufikisha apa tulipo sasa.Hili hata mimi nakubaliana nawewe. Babu aliharakisha akijua wakoloni weusi, wako kama yeye.
Nyerere alikuwa na mambo yake mengine, kukumbatia Ujamaa but kuwa fisadi hapana Babu wa watu.
Wewe ndio wale mnaojaza uoga vizazi. Yes njia ni tofauti, kila mtu ana nanmna ya kutafuta solution but what happens when watu wale wale wana ignore needs za watu kwa kipinid kirefu?Habr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya .pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine. Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari. Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.