Nikiangalia comment za vijana wa kitanzania kuhusu maandamano ya Kenya ni kama mnatamani ila mnashindwa nani aanzishe. Msithubutu tuipende nchi yetu

Nikiangalia comment za vijana wa kitanzania kuhusu maandamano ya Kenya ni kama mnatamani ila mnashindwa nani aanzishe. Msithubutu tuipende nchi yetu

Yaani tumwache mwigulu na majaliwa wameliki timu za Mpira wakati mshahara wao ni mil 5
 
Habr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya, pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine.

Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari.

Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
UVCCM katika ubora wqko 😂😂😂
 
Yaani tumwache mwigulu na majaliwa wameliki timu za Mpira wakati mshahara wao ni mil 5
Wale ni wezi tuu especially Mwigulu Hana hela yeyote ya halali zaidi ya wizi, majaliwa Sina uhakika kama ni mwizi sitaki kumsingizia
 
Bado kitambo kidogo tu ,,, huu ujinga unaoendelea hapa nchini Tz !! Amini nakwambia wimbi la vijana wasio na ajira wanajitafuta alafu wanakutana na ukiritimba mkubwa na manyanyaso ya serikali na baadhi ya viongozi kujilimbikizia mali,

Vijana Hawa wamekata tamaa hawaioni kesho Yao , wanaona Nuru ya maisha ikizidi kuzima ,wanajaribu kufanya hiki au kile wanakutana na sera mbovu za serikali

Nakuhakikishia Siku hisia zao zikiamka zikiwaka moto vijana Hawa wakasema poohhh ,,, ya Kenya Cha mtoto
 
Back
Top Bottom