Tufuate SHERIA na katiba yetu
Wewe ndo ujielewi sasa.Hicho wanachokipigania wakenya kitakuja kuwalipa mara elfu kuliko wewe kichwa kondoo uliyeinamisha kichwa chini.Hakuna mabadiliko ya kweli yanayoweza kuja bila kutoleana macho.Toka tumekua na huu utulivu kama nikuwapita kiuchumi ilitakiwa tuwe mbali sana ila tumeshindwa kwasababu ya huu ukondoo uliopo wakati huo tuna kila kitu kuzidi wao.Vijana wa Tanganyika wana akili kuliko hao vijana wa Kenya wao kazi kuiga mambo yako wazungu. Hayo mamumbumbu ya Kenya yaendelee kulivuruga taifa lao ili Tanganyika tuwapige Gap kwenye uchumi.
Mara mia wamngelibakia wao kuliko hivi sas ambavyo wamefanya kama hawapo kumbe wapo nyuma ya wakoloni weusi wanafanya watakavoKumbuka hatujawafukuza wakoloni kabisa kabisa hasa huyo aitwaye marekani so usilaumu wapigania uhuru
Bongo ukianzisha timbwili kesho utaokotwa msitu wa PANDE.Habr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya, pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine.
Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari.
Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
Tunu inaharibiwa na mafisadi wachache usidanganye watu tafadhali hatuwezi kuvumilia tozo kandamizi siku zote halafu wananeemeka watu wachache kwa nini tabaka tawala halizisikii hizi kelele za walala hoi?!Habr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya, pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine.
Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari.
Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
Punguza uoga na uchawaHabr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya, pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine.
Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari.
Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
Tanzania hakuna amani kuna ujinga na wonga wa watanzania ndio maccm wanaita amani. Nchi gani yenye amani watu wanaokotwa kwenye fukwe za bahari wakiwa kwenye magunia . Na hakuna uchunguzi wanakwenda kuzikwa na serikali? Nchi ambayo raisi anauza bandari bila hata kushauriana na yoyote ! Amani gani watu wanakufa hospitalini kwa kukosa hela za kulipia matibabu?yaani mtu anaye ishi smalia ana amani kuliko mtanzania.Habr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya, pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine.
Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari.
Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
Stupid idiot. Alikuset kwenye nini wewe mjinga?. Kwani unamlaumu mtu aliyestaafu mwaka 1985?. Mkiambiwa Katiba mpya mnakataa, mmebaki kulaumu watu. Stupid idiot, unashindwa kuwa sehemu ya mabadiliko umebaki kulalama.Huyo babu yenu alikua na kiherehere tu, huyo ndo katuset vibaya as a country
Nitajie nchi ambayo umewahi kuwa koloni la Marekani Africa.Kumbuka hatujawafukuza wakoloni kabisa kabisa hasa huyo aitwaye marekani so usilaumu wapigania uhuru
Tofautisha amani na uoga.Ni kweli tubadilike ila tusiharibu amani
Stupid idiot, chawa mkubwa.Vijana wa Tanganyika wana akili kuliko hao vijana wa Kenya wao kazi kuiga mambo yako wazungu. Hayo mamumbumbu ya Kenya yaendelee kulivuruga taifa lao ili Tanganyika tuwapige Gap kwenye uchumi.
Vijana gani?. Kenya vijana walitafisiri muswada wa bajeti kwa Lugha 20 za makabila mbalimbali ya nchi ya Kenya, Vijana wa Tanzania hata utangulizi tu wa bajeti hawajui.Vijana wa Tanganyika wana akili kuliko hao vijana wa Kenya wao kazi kuiga mambo yako wazungu. Hayo mamumbumbu ya Kenya yaendelee kulivuruga taifa lao ili Tanganyika tuwapige Gap kwenye uchumi.
Wewe ni mfano wa vijana wa kitanzania. Asimilia 99 ya Vijana wa kitanzania hawajui bajeti inaongelea Nini . Kijana wa Tanzania hata sentensi ya utangulizi kwenye bajeti hawajui. Ila vijana Wakenya wametafsiri bajeti yao kwa Lugha zaidi ya ishirini ili kila mtu aisome na kuielewa. Nani mwerevu na nani mjinga.Hatuwezi kufatilia mambo ya wenzetu haya tuhusu.Yaani niache kufatilia tetesi za usajili, ku bet, nifatilie maandamano? niwapongeze viongozi wetu kwa amani tuliyokuwa nayo ni kwasababu pia vijana wengi wa sasa ni wasomi tofauti na kwa wenzetu kichwani hakuna shule wanaendekeza uhuni siasa badala ya kufanya kazi.
Usidhubutu mwenyewe. Naona hata zile 4Rs mmezikataa. Wanafiki wakubwa. Ndio maana mnakufa kwa aibu.Wana mihemko.
Tanzania hailei ujinga mtafyekwa wote,waulizeni.kina Lipumba,Maalim seif,sijui Wadai gesi ya mtwara na wale wa Zanzibar na Mwembe Yanga.
Tanzania ni Nchi ya kijamaa sio ya kijinga kama hizo,msije kuthubutu