kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
UVCCM katika ubora wqko πππHabr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya, pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine.
Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari.
Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
Nakubaliana na wewTuwarudishe tuu, tuwape uraia na ardhi
So kweli ata kuthibiti ufisadi ndo maendeleo mfano chinaAmani na Upendo ndo nguzo kuuu ya maendeleo..
Wale ni wezi tuu especially Mwigulu Hana hela yeyote ya halali zaidi ya wizi, majaliwa Sina uhakika kama ni mwizi sitaki kumsingiziaYaani tumwache mwigulu na majaliwa wameliki timu za Mpira wakati mshahara wao ni mil 5
Kila siku viongozi uchwara wanatudanganya hivi halafu wanatupiga!.Amani na Upendo ndo nguzo kuuu ya maendeleo..
Kwa kutokupiga kura, basi itoshe kusema wewe ni kirundu!.Sijawahi kushabikia chama chcht cha siasa na wala sijawahi kupiga kura.