proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Hujachelewa bado vumilia, Fanya bidii, unayopitia wengi tumepitia kemea pepo la kukata tamaa.Nikiawangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa wana magari wameshaoa wanabiashara za kueleweka lkn mimi niling'ang'a kusoma hadi chuo kikuu,ajira sina chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani maisha ni kazi kweli kweli.
Very nice mkuu!Elimu ni kile ubakizacho kichwani baada ya mlolongo wa makabrasha uliyoyasoma.
Hili nalo neno kiukweli. Sio ww tu wapo watu kibao nikiwemo na mm , yan huwa nikikutana nao swali la kwanza kuniulza unamtoto duuhNikiawangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa wana magari wameshaoa wanabiashara za kueleweka lkn mimi niling'ang'a kusoma hadi chuo kikuu,ajira sina chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani maisha ni kazi kweli kweli.
Nikiawangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa wana magari wameshaoa wanabiashara za kueleweka lkn mimi niling'ang'a kusoma hadi chuo kikuu,ajira sina chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani maisha ni kazi kweli kweli.
Elimu ni kile ubakizacho kichwani baada ya mlolongo wa makabrasha uliyoyasoma.
Huyo miss yuko wapi?Mchukue miss natafuta.
Asante kiongoziMim nilipitia hali km hio,nikawaona wamefanikiwa zaidi yangu,kudharaulika mtaani,ila nilikuja kuwaacha wote,leo hii hawaamini.muda wako ukifika vyote utapata,usichanganyikiwe na kufanikiwa kwa mtu.kila jambo na muda wake.tena ww utashangaa unafanikiwa zaidi yao.pambana,kataa roho ya kukata tamaa
Yupo hapa JF, hajaamka muda siyo mrefu ataku-PM.Huyo miss yuko wapi?