zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
niliwahi wazo hivi hivi ila kilichokuja tokea nilibaki najilaumu kwa nini niliwaza hivi
kifupi jamaa niliye soma nae aliishia diploma akalamba shavu flani la uhasibu, ile narudi mtaani jamaa ana miradi, nyumba 2, gari, .mke kifupi yuko njema. nikikaa nae anawazia kupata m100 aachane na uhasibu aingie kwenye mambo yake.
akaja nunua bajaji mkononi mwa mtu, mwenye nayo anadai iliibiwa na dereva wake kuuawa kauza kila kitu kujiokoa na kesi iyo. now ana hali mbaya mpaka najilaumu kutamani kuwa yeye.
kifupi mambo yatakuwa poa kwa muda wako, utakula mazuri na mabaya yako.