Nikiangalia marafiki niliohitimu nao primary hadi naomba

Nikiangalia marafiki niliohitimu nao primary hadi naomba

Unakimbilia wapi?anza taratibu,we kama msomi tumia usomi kufanikiwa.watu wasioenda shule wengi hutoka kwa kupitia kalumanzila.mark my word
 
Nikiwaangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa, wana magari wameshaoa wana biashara za kueleweka lakini mimi niling'ang'ania kusoma hadi chuo kikuu, ajira sina, chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani, maisha ni kazi kweli kweli.
Mshukuru Mungu kwa hapo ulipofikia kwani nafasi na muda wako umeutumia vizuri kama huyo asiyesoma alivyo tumia,swala hapa ni muonekanao wa matokeo ya matumizi ya huo muda!ya mwenzako yameshaoneka kwa macho lkn ya kwako bado yako kwa ndani!so ni swala la muda tu mkuu!Elimu ni kitu muhimu mno!
Mfano hai!Kuna bwana mmoja nilianza nae kazi siku moja kwenye shirika moja la kimataifa kubwa tu hapa nchini,tena nikiwa boss wake.wakati huo nlikuwa na diploma nae alikuwa form 6 leaver,baada ya miezi michache akaamua kuendelea na chuo na baadae akatoka na degree yake.Bahati nzuri alikuwa na mawasiano mazuri na mimi muda wote akiwa chuoni,hivyo name niliendela kuwaa update maboss wangu,hivyo alivyomaliza connections bado zilikuwa nzuri.Alipata kazi kwenye shirika hilo hilo na akawa boss wangu tena kwa mshahara mkubwa mara 4 yangu wakati huo!
Hivyo jipe moyo na matumaini ukimtanguliza Mungu!!!!!!!!!
 
Wakat Naanza Chuo 4YA, nilisema nikimaliza degreee naendelea zaid mbele,
leo hii nona yale ndo mawazo ya kiwango cha juu kabsa cha ujinga wangu, binafsi nahc ukishapata ile elimu ambayo kwako n basic edctn, basi itumie hio kutafta maisha, Kuendelea kusoma iwe 4 leasure o more targets, sio unapiga kitabu ukiulizwa kulikon unakurupuka et nataka mshahara mkubwa, Nyambafuuuu naomba utekwe
Ahaaaa kutekwa tena mkuuu
 
Nikiwaangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa, wana magari wameshaoa wana biashara za kueleweka lakini mimi niling'ang'ania kusoma hadi chuo kikuu, ajira sina, chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani, maisha ni kazi kweli kweli.
Niliosoma nao primary school wengine anaitwa bibi lakini kila mtu na maisha yake
 
Nikiwaangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa, wana magari wameshaoa wana biashara za kueleweka lakini mimi niling'ang'ania kusoma hadi chuo kikuu, ajira sina, chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani, maisha ni kazi kweli kweli.
Umenikumbusha mbali sana,nakumbuka wakati naanza kazi mwaka 2011 nilikua na rafiki yangu mmoja ambaye yeye alikua na duka LA ....... ambalo lilikua ni Dogo sana kiasi kwamba wakati Mwingine ilinilazimu nimkopeshe mshahara wangu ili aweze kuongeza mataji

Baada ya miaka minne,nikashangaa jamaa amejenga,amenunua gari na anamtaji wa kutosha ambao bidhaa alikua anaagazia moja kwa moja toka. China,wakati huo Mimi bado tuu nasaga lami tena kazini hata cheo sijapata

Kibao kikageuka nikawa sasa Mimi ndo omba omba kwakwe ikifika tu kati kati ya mwezi Mimi hoi madeni kibao hahahaha nikaona isiwe tabu na Mimi mwaka Jana kama Utani tu tena kwa kuomba ushahuri himu humu jf nikajiongeza kudadadeki kazi tupa kule nikafaiti kama unavyojua mwanaume ni mwanaume

Sasa ivi na Mimi kila mwezi China mara mbili nilichogundua kwa maisha haya usipojiongeza hahahaha umekwishaa
 
Nikiwaangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa, wana magari wameshaoa wana biashara za kueleweka lakini mimi niling'ang'ania kusoma hadi chuo kikuu, ajira sina, chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani, maisha ni kazi kweli kweli.
Cheza BIKO baba ikishiñdikana bet
 
Aisee ukiyawaza haya maisha unaweza usifanye chochote

Yan umesoma mpaka akili ikaota sugu af unakuja kuajiriwa na mtu aliekimbia shule akiwa darasa la3

Kweli maisha ni kama gharide ukisikia nyuma'sgeuka wakanza anakua wa mwisho.
Anyway, mkuu ulipo umefika ulipopataka, kazi utapata mhimu mshirikishe Mungu maana kwenye maisha amna alietangulia.

Unafikiri wangesoma wote nani angemwajir mwenzake au tusingesoma wote nani angemuongoza mwenzake

VIDOLE VYA MIKONO HAVILINGANI LAKINI VINAFANYA KAZI PAMOJA
Mkuu nime take note ya first paragraph yako na kuiweka hivi "ukiyawaza sana haya maisha unaweza usifanye chochote"
 
Back
Top Bottom