Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mja na riziki yake mkuu,inawezekana hata ungeishia hilo darasa la saba bado mpaka leo ungekuwa huna lolote,Mungu ndio hupanga lini na saa ngapi atakupatia,usilaumu,safari bado.shukuru kwa kila jambo kuna wengine hata hiyo elimu hawajaipata.
Utakula hizo alamaMaisha ni kitu cha ajabu sana kuna mwenzako pia anasema ningejua bora ningesoma. Elimu ni kitu muhimu sana ndugu asikudanganye mtu. Tatizo tunaishi kwenye jamii ambayo haitufanyi kuwa wabunifu na kuacha legacy hivi isack Newton alikuwa tajiri? Shaban Robert alikuwa na pesa? Kikubwa nikuamua hapa duniani nataka niache alama gani. Huko India jamaa alianza kupanda miti kuokoa kijiji chake na ukame na mabadiliko ya hali ya hewa .Leo national geographic society wametambua mchango wake. Tumia elimu yako kuacha alama duniani.
Pole sana...Nikiwaangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa, wana magari wameshaoa wana biashara za kueleweka lakini mimi niling'ang'ania kusoma hadi chuo kikuu, ajira sina, chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani, maisha ni kazi kweli kweli.
Nalo neno
Asprini unatishaPole sana...
Wenzako wamefanya maarifa ya ununuzi wa vyeti na wamenufaika kuwa mabosi wa mkoa mkubwa.
Wengine wakafoji vyeti wametumbuliwa...
Dunia sio mbaya, binadamu ndio wabaya.
elimubndo imemfanya awe masikini hadi leo.shukuru kwa kila jambo kuna wengine hata hiyo elimu hawajaipata.
WAIT FOR YOUR TIME ACHA KUGEZA LIFENikiwaangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa, wana magari wameshaoa wana biashara za kueleweka lakini mimi niling'ang'ania kusoma hadi chuo kikuu, ajira sina, chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani, maisha ni kazi kweli kweli.
Acha kukatisha tamaa vijana,leta hio mifano ya std 7 ambae ni tajiri nchi hii hapa.Siku zote wasomi hawajawi kuwa matajiri ww subili kuajiliwa na kutumwa na hao ulio waacha std 7. "ngumu kumeza".
Umenichekesha sana kijanaNikiwaangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa, wana magari wameshaoa wana biashara za kueleweka lakini mimi niling'ang'ania kusoma hadi chuo kikuu, ajira sina, chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani, maisha ni kazi kweli kweli.