Nikiangalia marafiki niliohitimu nao primary hadi naomba

Nikiangalia marafiki niliohitimu nao primary hadi naomba

Maisha ni kitu cha ajabu sana kuna mwenzako pia anasema ningejua bora ningesoma. Elimu ni kitu muhimu sana ndugu asikudanganye mtu. Tatizo tunaishi kwenye jamii ambayo haitufanyi kuwa wabunifu na kuacha legacy hivi isack Newton alikuwa tajiri? Shaban Robert alikuwa na pesa? Kikubwa nikuamua hapa duniani nataka niache alama gani. Huko India jamaa alianza kupanda miti kuokoa kijiji chake na ukame na mabadiliko ya hali ya hewa .Leo national geographic society wametambua mchango wake. Tumia elimu yako kuacha alama duniani.
[emoji123][emoji123][emoji123].
 
Pole sana...

Wenzako wamefanya maarifa ya ununuzi wa vyeti na wamenufaika kuwa mabosi wa mkoa mkubwa.

Wengine wakafoji vyeti wametumbuliwa...

Dunia sio mbaya, binadamu ndio wabaya.
Kwa hiyo huyu mheshimiwa naye aibe cheti swahiba?

Mkuu usinunue cheti huyu bwana anakushauri vibaya. Wewe njoo huku namtumbo tulime biringanya bwana.
 
Everything has to be at his, just thank God for everything..maadamu ni mzima na una elimu ya kutosha lawama zinatoka wapi sasa? Inawezekana wakati wenzako wanamaliza wewe ndio utapata nafasi ya kuanza so sioni haja ya kuangalia maisha ya wengine kwa kigezo chochote kile kwa kuwa hakuna anayejua mpango wa Mungu juu yako mkuu!
 
Kutangulia si kufika , wao wametangulia waache waende huku wewe ukiweka bidii kwa kile ulichonacho kichwani pambana nna uhakika baada ya muda hao wote watakusalimia kwa heshima, cha muhimu ni juhudi binafsi

Mumeo anaendeleaje? Alishapona?
 
Nikiwaangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa, wana magari wameshaoa wana biashara za kueleweka lakini mimi niling'ang'ania kusoma hadi chuo kikuu, ajira sina, chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani, maisha ni kazi kweli kweli.
Kila jambo lina wakati wake ndugu. Ila usiache kuhangaika kusaka mshiko. Utafanikiwa.
1. Work
2. Work
3. Work
 
Yes ulimwengu una badilika zamani ilikuwa watoto, ikaja kusoma kwa sasa ni ulimwengu wa information kujua na anataka nn au jinsi ya kubadili hitaji la jamii kuwa pesa.
 
Yes ulimwengu una badilika zamani ilikuwa watoto, ikaja kusoma kwa sasa ni ulimwengu wa information kujua na anataka nn au jinsi ya kubadili hitaji la jamii kuwa pesa.
Ndio hivyo mkuu
 
Back
Top Bottom