kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Binadamu ana tabia yakuona kitu flani kikamkumbusha Jambo fUlani la aina hiyo lililowahi kutokea miaka ya nyuma.
Leo hii nikawaida kuona wanasiasa na baadhi ya viongozi wakisiasa wakipiga picha na kuposti wakiwa kwenye mashamba yao.
Picha hizi unanifanya nijiulize hivi akienda mtu akaondoa mifumo ya umwagiliaji na kuua mazao waliyopanda watajisikiaje?
Leo uvamie shamba kiongozi flani aliloandaa kwa kustaafu au kwa mkopo uliaribu atajisikiaje? Hizi feeling unipeleka Moshi nakukumbuka matendo ya kamati ya ulinzi na usalama dhidi ya Mali za Mhe. Mbowe na familia yake kisa mtaji wakisiasa.
Tunachomshukuru Muumba ni kwamba waliotenda Yale wana waisha duni kuliko hata mhe mwenyewe. Tujifunze kuacha kudhulumu haki ya mtu kisa wewe upo madarakani kwa sababu hata akirudi nyuma wewe hautakwenda mbinguni. Pole familia zote zilizodhulumiwa haki na watawala, ipo siku wataondoka kwenye viti vyao.