Nikiangalia rekodi za Askofu Gwajima napata mashaka kuamini hichi anachokizungumza leo

Kabla sijasahau aliwaahidi pia mazezeta wake anajenga jengo lenye ukubwa wa mita 300, na kuwasisitizia (viwanja vya mpira vitatu) [emoji38][emoji38][emoji38] mazezeta yake yanashangilia tu! Hilo jengo liko wapi au anawajengea mbinguni?
Birmingham my foot!
 
Birmingham USA ni jimbo hakuna anaekataa, UKBirmingham ni mji...Nataka uniambie mkazi gani wa Kawe ameshapelekwa huko??
 
Hamna county ya Birmingham Marekani au Uingereza.

Gwajima kweli ni muongo. Tena sana.

Amandla...
 
Birmingham USA ni jimbo hakuna anaekataa, UKBirmingham ni mji...Nataka uniambie mkazi gani wa Kawe ameshapelekwa huko??

Kweli wewe ni mzito wa kuelewa. Birmingham USA ni Jiji sio jimbo. Jiji hilo liko kwenye County ya Jefferson. Hamna county ya Birminham USA.

Hilo la wakazi wa Kawe angeulizwa mbunge waliomchagua kwa kishindo kikubwa. Wangemuuliza pia kama ameishaagiza Ambulance ngapi za kugawa kwa kila tarafa.

Amandla...
 
Liwe jimbo liwe jiji watajua wenyewe! Jibu swali ni mkazi gani wa Kawe aliyekwisha pelekwa huko?!
 
Huyo jamaa mnayemuita askofu ni mpuuzi ni mazezeta peke yake ndio wanaweza kumuamini huyo mtu.
 
Liwe jimbo liwe jiji watajua wenyewe! Jibu swali ni mkazi gani wa Kawe aliyekwisha pelekwa huko?!

Swali hilo ungemuuliza Gwajima. Kutokana na adhabu yake, atakuwa anapatikana kirahisi tu kanisani kwake. Mfuate huko ukamuulize.

Amandla...
 
Nilichojifunza hapa dunia watu werevu wenye ujasiri na wapumbavu wenye ujasiri hawatofautiani.

Wenye uelewa mdogo tunabaki kuyumbishwa na hayo makundi mawili. Bila kujua nani mpumbavu na yupi mwerevu mpaka tunapodhurika.

Ila Gwajima ameishajionyesha ujasiri wake unaanza kupungua soon atajulikana ni pumbafu au elevu.
 
Aisee hii ya kufufua ni level nyingine. Eti mimi watu wa kufa kufa ndiyo nawapenda! Na ndondocha zinashangilia kila aina ya uongo unaomtoka kinywani.
 
Aisee hii ya kufufua ni level nyingine. Eti mimi watu wa kufa kufa ndiyo nawapenda! Na ndondocha zinashangilia kila aina ya uongo unaomtoka kinywani.
Shida misukule kurudi kuwa binadamu wa kawaida sio rahisi! Ameshawageuza misukule kila anachowaambia wanakubali tu! Lipi kafanya akafanikiwa!?
 
Gwajima is one of the many FAKE prophets pointed out in the Holy Bible. In the King James Version of the Bible the text reads: BEWARE OF FALSE PROPHETS, WHICH COME TO YOU IN SHEEP'S CLOTHING, BUT INWARDLY THEY ARE RAVENING WOLVES (Matthew 7:15).
 
Shida misukule kurudi kuwa binadamu wa kawaida sio rahisi! Ameshawageuza misukule kila anachowaambia wanakubali tu! Lipi kafanya akafanikiwa!?
Kweli kabisa. Watanzania wengi wamegeuzwa misukule na Gwaji boy; kila jambo la kipuuzi analowaambia, wanamkubali kama mazuzu wasikuwa na akili hata chembe. Wapuuzi wakubwa!
 
Huyu 'askofu' tapeli mkubwa sana.
 
Hizi sanaa nyingine !. Hata mtoto wa darasa la pili anashtukia dili!.
Maiti ya several days inaweza kukalishwa vile kwenye kiti?!.
Kama ni kweli ana uwezo wa kufufua kwanini asimfufue yule naniliu ?!.
P
 
Hizi sanaa nyingine !. Hata mtoto wa darasa la pili anashtukia dili!.
Maiti ya several days inaweza kukalishwa vile kwenye kiti?!.
Kama ni kweli ana uwezo wa kufufua kwanini asimfufue naniliu ?!.
P
Mkuu Mayala hii imetoka kwako kweli?!
Nimeangalia ID mara mbili mbili!
 
Hata Kikwete aliwahi kuwaidi Maisha bora kila Mtanzania, lakini mpaka anatoka madarakani ilikuwa Maisha bora kwa Mafisadi,acha kutegemea maneno ya wanasiasa utakufa masikini,hata akina Mbowe walisha wahi kutuambia kuwa awawezi kuumpa fisadi nafasi kugombea kiti cha urais kupitia chadema, mwisho wa siku walipopata mshiko wakageuka, mwanasiasa anajali maslahi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…