Nikianzisha Salon Maalum Ya Kunyoa Nywele Za SIRINI Nitapata Faida?

kumbe wewe kibaka tu.njaa kali nilijua fogo fulanu kumbe hata account yako aisomi 1 million. na Elimu yako sio ya juu.fungua salon hili upate buku 7 kwa wiki mbali na malipo sijui hata utalipa Tax.


swissme
 
hakuna kitu kama hicho ukikuta mwanaume hana nywele kwenye makalio ujue huyu ni shoga moja kwa moja, hata jeshini wanakagua pia makalio!
Haha ndio maana nikamuuliza muheshimiwa hapo juu ,maana mimi hicho kitendo ni kigeni kwangu
 
Mbona manesi na msdokta wanafanya kazi hiyo ya kuchungulia huko kwa wanaojifungua na wagonjwa wengine7, post: 15474777, member: 306493"]Unatafuta laaanaaa... usipopofuka utakuwa chizi ..haiwezekani sehemu za siri za mtu ziwe wazi kwako...wewe mwanaume mzimaaa kila siku uwe unachezeaaa nyeti za wanaume wenzioo...au wanawake.. kwa siku ziwe 10 kwa mwezi jee....
Lazima ulaanikeeeee na mwishowe na tabiri kifo ...maaana mshahara wa dhambi ni Mauti.[/QUOTE]
Mbona manesi
 
Ninawasiwasi na mwalimu aliyemfundisha huyu jamaa somo la mwandiko haiwezekani achanganye herufi kubwa na ndogo.
 
Utawapata wanawake maana siku hizi ni wavivu balaa. Kucha wanaoshwa, miguu wanaoshwa....so naona hata mavz watakueletea tu uwanyoe
 
Gentamycine mbona zipo.wanaita laser hair removal,vuzi linatolewa mwaka mzima ndo linatoka level ya kunyoa tena...
Km thieta vile
 
Nawaza tu jinsi nitakavyo ingia hapo mlangoni. Pamechorwa picha za jinsia 2 na maandishi kuwa hapa kwetu twanyoa zisizoonekana! Dah! Halaf kidume naangalia kulia kushoto halaf naingia ka naingia kibanda cha gongo.
Ukiingia ndani sasa, umkute kuna lietangulia, utamsubiri ukisoma gazeti au?? Halaf, uulizwe swali, unamtaka juice au Martine. Sijui nitajibuje. Naona mlete hoja, uliwaza mbali saana. Ni nini kilikusibu??
 
Anzisha utapata ila km n mwanamke mnyoaji awe mwanaume
Km n mwanaume mnyoaji awe mwanamke safii itakuwa na utalata faida ,
 
Mkuu hiyo biashara ni nzuri sana na ina faida mm niliifaya kwa takribani miezi nane ila ilikuwa ni kwa wanawake tu na nilianzia kwa wanafunzi wa chuo mnamo miaka mitatu iliyopita.
Sikuwa na saloon wala jengo mm nilikuwa natembea na vifaa vyangu kwenye begi mtu akinihitaji alikuwa akinipigia simu,naenda kumuhudumia nikimaliza naondoka japo ilikuwa inavishawishi sana,baadae soko lilikuwa nikawa naitwa hadi majumbani na wake na mademu za watu nawapa huduma hiyo.
Kutokana na majukumu kuongezeja niliiacha hiyo kazi japo mpaka leo kuna wadada bado wananitafuta niwape huduma,kila kichwa nilikuwa nafanya kwa Tsh.20000 na mteja anaweza niita tena baada ya miezi miwili,so inalipa.
 
Huko ulaya na marekani hiyo ni biashara nzuri na inalipa sana ukitafuta youtube utaona jinsi wanavyofanya kazi
Wafanyakazi wake wanawake na wanaume ili mteja achague mwenyewe 😀😀
ngoja nichek huko YouTube...
 

Labda Changamoto Gani Ulizipata Hasa Kwa Kunyoa Hizo Sehemu Zinazopakana Kwa Ukaribu Mno Na Viungo Korofi Vya SIRI Vya Mwanaume / Mwanamke?
 
Labda Changamoto Gani Ulizipata Hasa Kwa Kunyoa Hizo Sehemu Zinazopakana Kwa Ukaribu Mno Na Viungo Korofi Vya SIRI Vya Mwanaume / Mwanamke?
Aiseeh first tym ilikuwa inanisumbua sana hasa jogoo kukaza karibu usiku mzima pia unakuta tupu nyingine zina harufu kali so ilikuwa nikijiandaa kwenda kwa mteja namwambia ajiandae kujisafisha na pia lilikuwa navaa gloves na mask kama zile za madaktari,pia nilipozizoea kuziona papuchi haikunipa tena shida.
shida nyingine ni kusumbuliwa na wateja wanakuita kama wanataka huduma kumbe wanataka kwichikwichi.
Wateja wakubwa walikuwa wadada wa ustawi,cbe,tia na ud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…