Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha ndio maana nikamuuliza muheshimiwa hapo juu ,maana mimi hicho kitendo ni kigeni kwanguhakuna kitu kama hicho ukikuta mwanaume hana nywele kwenye makalio ujue huyu ni shoga moja kwa moja, hata jeshini wanakagua pia makalio!
Nadhani itapendeza midume tuhudumiwe na madem au vipi?yaaani DUME zima niweke Dushe lipigwe wembe na Dume mwenzangu? astaghafilullah
Dune halisi anyoi vuzi la tako labda kama atakua mchelemchele!Heee hii ndio naskia leo ,nywele za kwenye makalio ya vidume zinanyolewaga ?????
ngoja nichek huko YouTube...Huko ulaya na marekani hiyo ni biashara nzuri na inalipa sana ukitafuta youtube utaona jinsi wanavyofanya kazi
Wafanyakazi wake wanawake na wanaume ili mteja achague mwenyewe 😀😀
Mkuu hiyo biashara ni nzuri sana na ina faida mm niliifaya kwa takribani miezi nane ila ilikuwa ni kwa wanawake tu na nilianzia kwa wanafunzi wa chuo mnamo miaka mitatu iliyopita.
Sikuwa na saloon wala jengo mm nilikuwa natembea na vifaa vyangu kwenye begi mtu akinihitaji alikuwa akinipigia simu,naenda kumuhudumia nikimaliza naondoka japo ilikuwa inavishawishi sana,baadae soko lilikuwa nikawa naitwa hadi majumbani na wake na mademu za watu nawapa huduma hiyo.
Kutokana na majukumu kuongezeja niliiacha hiyo kazi japo mpaka leo kuna wadada bado wananitafuta niwape huduma,kila kichwa nilikuwa nafanya kwa Tsh.20000 na mteja anaweza niita tena baada ya miezi miwili,so inalipa.
Aiseeh first tym ilikuwa inanisumbua sana hasa jogoo kukaza karibu usiku mzima pia unakuta tupu nyingine zina harufu kali so ilikuwa nikijiandaa kwenda kwa mteja namwambia ajiandae kujisafisha na pia lilikuwa navaa gloves na mask kama zile za madaktari,pia nilipozizoea kuziona papuchi haikunipa tena shida.Labda Changamoto Gani Ulizipata Hasa Kwa Kunyoa Hizo Sehemu Zinazopakana Kwa Ukaribu Mno Na Viungo Korofi Vya SIRI Vya Mwanaume / Mwanamke?