Nikianzisha Salon Maalum Ya Kunyoa Nywele Za SIRINI Nitapata Faida?

Gentamycine mbona zipo.wanaita laser hair removal,vuzi linatolewa mwaka mzima ndo linatoka level ya kunyoa tena...
Km thieta vile

hyo ya kunyoa then zinaota baada ya mwaka hyo dawa naitaka niifanyie kwenye ndevu,maana hizi ndevu nanyoa saa2 saa10 zmeshaota
 
Noma
 

Shikamoo!
 
Usishangae mkuu,ujue umaskini huleta changamoto ya ubongo,ilikuwa ni njia ya kujikwamua tu.Now utaalamu wangu huo anaufaidi ninaye shea nae vikojoleo tu tena bure[emoji6]

Siku Hizi Haviitwi Vikojoleo Bali Vinajulikana Kama Viungo Korofi.
 
Kama ntahudumiwa na jinsia tofaut na mim sawa
 
najaribu kuwaza tu kwa wenzetu ambao wako kwenye ndoa. sasa wife mara ya mwisho asubuhi unapita pale unyasi ulikuepo tu wa kutosha. siku nzima kashinda ofisini na unalijua hilo. sasa jioni mara unapita pale tena unakuta peupee tena laiini, kwa, sura yenye mchanganyiko wa mshangao na furaha unamwuliza "sweetie umenyoa saa ngapi?" anakujibu nimepita saluni kuna kijana anaitwa GENTAMYCINE ana saluni nzuri ndo kaninyoa. teh teh teh kinachofata hapo sijui nini.!
 

Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha........!
 
Nakumbuka kuna hostel moja ipo mitaa ile ya sabasaba ya wanafunzi wa TIA wanaume waliniweka kati kidogo nile kipondo baada ya kujua kazi ninayofanya ilibidi mteja wa mitaa hiyo akiniitaji anaomba funguo kwa mwenzake anayekaa huku kurasini naenda toa huduma.
 
Weka mashine ambazo ni self-controlled ....

Wewe unakaa nje, Mimi naingia ndani mashine inaninyoa yenyewe
 
I like it
 
Mkuu vipi biashara ulisha ianza, nikuletee wateja[emoji6]
 
kumbe wewe kibaka tu.njaa kali nilijua fogo fulanu kumbe hata account yako aisomi 1 million. na Elimu yako sio ya juu.fungua salon hili upate buku 7 kwa wiki mbali na malipo sijui hata utalipa Tax.


swissme
Si nasikia waliku ban wewe swissme ?
HAHAHAHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…