Nikianzisha Salon Maalum Ya Kunyoa Nywele Za SIRINI Nitapata Faida?

Nikianzisha Salon Maalum Ya Kunyoa Nywele Za SIRINI Nitapata Faida?

Unapiga hela mana hawa ma sister duu wa siku hizi cdhan kama wanakumbuka kutoa hizo kitu mana wako bize na sura na kuweka makucha marefu na manywele.. Naamin utapata wateja sana
 
mbona hapo Dasilamu makutano ya bibi titi na morogoro ukiwa unaenda Magomeni inakuwa mkono wa kushoto ipo ila wa mama wa kihindi ndio walikuwa zaidi wateja, tena wana SAFISHWA na vijana wa kiafrica!
 
Unatafuta laaanaaa... usipopofuka utakuwa chizi ..haiwezekani sehemu za siri za mtu ziwe wazi kwako...wewe mwanaume mzimaaa kila siku uwe unachezeaaa nyeti za wanaume wenzioo...au wanawake.. kwa siku ziwe 10 kwa mwezi jee....
Lazima ulaanikeeeee na mwishowe na tabiri kifo ...maaana mshahara wa dhambi ni Mauti.
Hizo saloon zipo, na kule jukwaa la urembo na utanashati watu wametoa shuhuda kuwa wanapata hizo huduma.. Dunia ya leo hata c*h*u*p* haijavaa mkuu.
 
Argh povu limekutoka wakati nimekuuliza tu!,
Acha majibu ya hovyo nitawakonyeza mods wakupe ban tena la mwaka mzima!
Call me Dola Iddy
219189.jpg

swissme
 
Kama nilivyosema comment iliyopita nilikuwa nafanya hii kazi hasa kwa wanafunzi wa kike wa chuo niliiacha kwa muda kutokana na ombi la wateja kukosa hii huduma nimeianza rasmi ila kwa order maalum. ......now nipo northern zone nimebahatika kukutana na wateja wangu wa zamani, ,,,,,, so ukikuta mkeo hana hata nyoya ujue ni kazi yangu [emoji6][emoji6][emoji6]
 
hakuna kitu kama hicho ukikuta mwanaume hana nywele kwenye makalio ujue huyu ni shoga moja kwa moja, hata jeshini wanakagua pia makalio!
Kweli kabisa Mkuu vuzi la makalioni lina heshima yke kwasisi vidume..nadhan mashoga wanapalua yote
 
Back
Top Bottom