uzito wako utakuwa mkubwa nakushauri usiku usile wali hata ugali chemsha mihogo na chai inatosha jambo jingine nunua kamba ya kuruka ukitoka kazini jioni unaruka hapo nyumbani jambo jingine tembea kwa miguu kutoka hapo nyumbani kwako mpaka uwanjani fanya hivyo kwa mwezi mzima