Nikichuchumaa Nashindwa Kuamka

Nikichuchumaa Nashindwa Kuamka

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Ndugu Zangu Naombeni Ushauri Nikichuchumaa Wakati Wa Kujisaidia Nashindwa Kusimama Miguu Inauma Sana Kila Siku.
 
uzito wako utakuwa mkubwa nakushauri usiku usile wali hata ugali chemsha mihogo na chai inatosha jambo jingine nunua kamba ya kuruka ukitoka kazini jioni unaruka hapo nyumbani jambo jingine tembea kwa miguu kutoka hapo nyumbani kwako mpaka uwanjani fanya hivyo kwa mwezi mzima
 
Fanya mazoezi ya kutembea kilomita tano au zaidi kila siku.
 
Back
Top Bottom